Yahusu kufuta kauli

Nilimkopa muuza majeneza kwa kuweka simu moja bond... Nilikuwa na simu mbili... Sikutaka kupata aibu ya matumizi nje ya bajeti
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] na yale maneno ya kuwa "humpendi marehemu ndio maana ukala pesa ya jeneza.." uliyaepuka pia.. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] na yale maneno ya kuwa "humpendi marehemu ndio maana ukala pesa ya jeneza.." uliyaepuka pia.. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Na jee uliporudi msibani na kuwaambia ulichofanya nadhani waliidhinisha matumizi hayo kwa vile "umefanya kwa nia njema"?
Ha ha ha, nadhani mkuu hapo hata umuite Polepole akutetee hakuna atakaye kuelewa
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Nilishaisoma atmosphere... Kwahiyo nikafanya manoeuvre mwenyewe... Nikapeleka jeneza bila ganji kuona
 
ha ha ha hata jamaa leo kafuta kauli ?ila watanzania wa sasa sio mazwazwa ........................ we need awa monii
 
Bora amefuta kauli,Tufanye mambo mengine ya maana ila ukweli tumeshaujua,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…