Yahusu kufungua guest house wilaya ya kinondoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yahusu kufungua guest house wilaya ya kinondoni

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Futota, Jun 17, 2011.

 1. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ASL ALKM Ndugu wana JF,
  Kufungua guest house process yake iko vipi? yaani vibali, kodi za serikali nk
  Je kuna limit ya vyumba, yaani hata kama nyumba ina vyumba viwili self-contained
  yaweza kuwa guest house?
  Thank you in advance
   
 2. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wandugu wapenzi, jamani hata mmoja majibu?
  I am very serious kuhusu hili kwani tuna kajumba ketu, mpangaji
  anatusumbua huyo kila mwaka ikifika muda wa kupokea kodi yetu,
  sasa basi kuondokana na hili tunafikiria ni bora tukafanya iwe
  guest house
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  kwa kifupi proses za kufungua gest si ngumu sana make unatakiwa uwe na leseni ya kuendesha hiyo gest kutoka manispaa. prosess zote zinaishiaga manspaa basi. Hamna ugumu wowote.
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Mkuu, nyumba ya vyumba vitatu unataka kufanya guest? Iko mkoa gani hiyo nyumba? Sidhani kama vyumba vitatu vitakulipa mkuu, labda uipanue kidogo vifike atleast 10! Mambo ya short time yataitia najis tu nyumba yako, kama imechokachoka muondoe huyo mpangaji, itengeneze vizuri; ikibidi uifurnish kabisa kisha tafuta mpangaji wa maana. Nyumba ya vyumba vi3 ni heri mtu akupe laki4 kuliko kuifanya guest bubu.

  Biashara ya guest inalipa kama unajenga Lodge nzuri sehemu nzuri na huduma nzuri!
   
 5. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,315
  Trophy Points: 280
  Ebana hivi kuna mkoa unaozidi dodoma kwa gesti!
   
 6. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Asante mkuu,
  Kumbe process ni rahisi, ni pale tu manispaa
  Basi poa naona hii shughuli itaweza kufanyika
   
 7. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu, nikipiga mahesabu ya haraka haraka, naona pato la guest house (3 self contained rooms) litazidi laki 4 kwa mwezi.
  Halafu unaondoka na karaha ya kuomba pesa kwa ngumi kutoka kwa mpangaji LOL
  Mpango ni ku refurbish vyumba vikawa vya standard ya hali ya juu,
  na ka huduma ka breakfast, na visoda soda kila wakati.
  Nadhani ukiweka mandhari mazuri basi itapata wateja "wa haki" na sio short timers
  Hao hawatapewa nafasi kabisa LOL
  Hiyo nyumba ipo pazuri karibu na barabara kuu, na kwa sasa
  inapangishwa laki 4, lakini ndio hivyo zinatoka kwa binde LOL
   
 8. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Itakuwa biashara inatoka.
  Na sisi tunaka tujaribu tuone
  raha na karaha ya kumiliki a guest house!
  Thanks!
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Jiandae kuibiwa shuka.....
   
 10. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  ukifanikiwa kufungua hiyo guest house utaongeza na
  ajira pia. maanake si uongo atahitajika mtu wa kufanya
  usafi, receptionist, mlinzi nk.
   
Loading...