ASL ALKM Ndugu wana JF,
Kufungua guest house process yake iko vipi? yaani vibali, kodi za serikali nk
Je kuna limit ya vyumba, yaani hata kama nyumba ina vyumba viwili self-contained
yaweza kuwa guest house?
Thank you in advance
kwa kifupi proses za kufungua gest si ngumu sana make unatakiwa uwe na leseni ya kuendesha hiyo gest kutoka manispaa. prosess zote zinaishiaga manspaa basi. Hamna ugumu wowote.
Mkuu, nyumba ya vyumba vitatu unataka kufanya guest? Iko mkoa gani hiyo nyumba? Sidhani kama vyumba vitatu vitakulipa mkuu, labda uipanue kidogo vifike atleast 10! Mambo ya short time yataitia najis tu nyumba yako, kama imechokachoka muondoe huyo mpangaji, itengeneze vizuri; ikibidi uifurnish kabisa kisha tafuta mpangaji wa maana. Nyumba ya vyumba vi3 ni heri mtu akupe laki4 kuliko kuifanya guest bubu.
Biashara ya guest inalipa kama unajenga Lodge nzuri sehemu nzuri na huduma nzuri!
Fanya biashara nyingine sio hiyo
wakuu hali zenu.
Nipo kwenye mchakato wa kumalizia ujenzi ambao ni nyumba ya kulala wageni. mimi ni muumini wa dini mzuri ambaye singependa hii business iishie kwenye dangulo.
Naomba mnishauri kama inawezekana ukawa na halali business ambayo watu hawataitumia kwa short times pia kuja kujivinjari. ningependa walalao wawili wawe married but singependa kuwalazimisha waje na vyeti vya ndoa. pliz help if it is feasible and how can it be done?
nangu mahwelu
Short time ndo per Diem za huyo guest keeper. Ila wanaolala muda mrefu ndo vichwa vyako.
Otherwise, you are good to go
ulikuwa peke yako au ulikuwa na mtu mnataka kulala chumba kimoja wawili?hahahah! Ilishawah kunikuta dhahama hiyo mm, kama sio kujulikana na wafanyakaz wa lodge ningelala stend ya mabasi..
hii ni baada ya guest niliyozoea kulala siku hiyo nafka naambiwa kama mtu hujaoa au kuolewa hupati chumba mwenye guest house kaokoka hataki uzinzi...
Mbaya zaid siku hiyo basi lilichelewa kufika boda na mdada niliyemzoea sana hapo guest alikuwa yupo off siku hiyo, ikabid nimpigie simu huyo dada aongee na mwenzie ndio nikapewa chumba..
ulikuwa peke yako au ulikuwa na mtu mnataka kulala chumba kimoja wawili?