Yahusu kuchanjiwa muku

Kuna wengine hadi aage dunia wanaweza enda hata wiki 2 wanakoromaga tu na nishashuhudia mmoja hata madawa hakua anayajua ila ilimchukua wiki 1 kuaga dunia ilhali dalili zote anazo.
tujitahidi saana matendo yetu maana yataendana nasi hadi mwisho ili tuwe na mwisho mzuri.
 
Lakini pia hii ya kuugua mpaka kuoza lakini mtu hafi inatokana na maagano nadhiri na viapo hasa na nguvu za giza...huyo mtu hafi mpaka atengue hayo mambo
Wazee wetu wa zamani waliyapenda saana maagano, kuna bibi mmoja alinisimulia yy alimeza hirizi ya mandondo, anakwambia jinsi ya kuimeza hadi kwenye jeneza unawekwa...nilikuaga namsikiliza namuona anatunga tu huyu hizi hadithi za afu lela ulela! Alas, kumbe haya mambo yapo. Aliteseeeka saanaa zamu yake ilipofika.
I wish hii Muku ingekua haufi milele [emoji12] [emoji12]
 
Kuna jamaa mmoja huwa namsikia redioni anatangaza dawa ya nguvu za kiume ina itwa Muku supa shaft [emoji28] [emoji28] [emoji28] sijui ni majina tu!!
Wapigaji wa mjini hao...hicho kinachoitwa muku super shaft ni mizizi iliyosagwa inaitwa ubombo kisambaa , ni kama ile wanayouza wamasai kwenye mabar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…