Singe nyama italala njooHaahaahaa mkuu mie nataka nichanjiwe muku nikafanye fujo kituo cha polisi.
Haaahaa.. endelea mkuu.Singe nyama italala njoo
Aaaaaah mkuu mimi naishia hapoHaaahaa.. endelea mkuu.
Class mate wangu alishiriki vita ya Uganda, aliporudi alinihadithia aliyoyaona ni balaa,Kwa hiyo mtu akienda vitani akitumia muku hatakufa? Kama ni hivyo ingefaa wanajeshi wetu wakienda kulinda amani wachanjwe muku maana inasikitisha wanapokufa huko.
Naamini Nyerere alikuwa na lengo zuri sana kuzuia "UMANGARIBI" haya ma TV ndio yametufanya tuone utamaduni ni ushamba, tungeendeleza yetu si ajabu leo tusingekuwa na magonjwa ya ajabu ajabu hivi.. Unaenda kuongea na babu anakupa dawa mambo yanakuwa fresh, siku hizi mpaka mionzi, na unakufaClass mate wangu alishiriki vita ya Uganda, aliporudi alinihadithia aliyoyaona ni balaa,
Dawa nyingi zinatokana na miti shamba, binafsi natumia remedies tu maishani ni tiba asilia mpaka wananguNaamini Nyerere alikuwa na lengo zuri sana kuzuia "UMANGARIBI" haya ma TV ndio yametufanya tuone utamaduni ni ushamba, tungeendeleza yetu si ajabu leo tusingekuwa na magonjwa ya ajabu ajabu hivi.. Unaenda kuongea na babu anakupa dawa mambo yanakuwa fresh, siku hizi mpaka mionzi, na unakufa
![]()
![]()
![]()
kwakweli ninao la sivyo ningeshazikwa siku nyingi sana
Mkuu umenikumbusha kisa cha bibi yangu mzaa baba, alikufa kifo cha mateso sana!! Alianza kuugua 2004 akafa mwaka jana 2015... Cha ajabu wakati yupo hospitali ameoza upande mmoja hatamaniki baba akaota ndoto aende kijijini kwao kuna kitu kipo kwenye sanduku la huyo bibi akakichome moto...mshana jr test ya muku haiishii kwenye majambia tu,; ni visu, nyembe, sindano, misumari na risasi ya ukweli ukweli lazima idufue mwili wako tena inalengwa kifuani!
Hutakiwi kuwa muoga siku ya kuchanjwa na kwenye tukio la test vinginevyo ukitestiwa inaingia mazima na risasi itakuuwa!!
Huko kigoma hii kitu inaitwa "VIDONO"
Na wakaguru wanaipata kwa mtemi wao anaitwa "JENGA" inapatikana wilaya ya Gairo kijiji cha Idibo- hakatizi maasai hapo kijijini na ikitokea kakatiza huchinjwa kama kuku na jeshi kuu la "MWANO"
Kule kanda ya ziwa inaitwa "BHULABHUKA"
Ilishawahi kututesa hii kitu mwaka juzi bibi alipofikia kufa ktk umri wake wa miaka 100+ alitusubirisha mpaka wiki mbili hafi huku mwili ukiwa umeoza ila bado angali anapumua!!!
Mwishoni alikuja mdogo wake akaamuru tutoboe juu ya paa na mwiba wa nungunungu!!!
Dunia ina maajabu acha kabisa!!
hahahaha....aisee.kuna wengine nadhani wameshajaribu kuligeuza ili kuona kama litaleta maana waitakayo.yaani hii thread nimeipita mara nyingi, na kila nikipita hilo neno muku nilikua naliona tofauti...
Muku ni single soul haina colaboVipi Muku haichuji? yan hakuna advance yake kama unahitaji kumpindua mwenye chanjo za muku?
Haiwezekani kabisa kwasababu huingizwa kwenye mfumo wa damu yale madawa unayochanjiwanapenda kufahamu kama ukichanjiwa unaweza ukatolewa au kuiondoa mwilini mwako
Lakini pia hii ya kuugua mpaka kuoza lakini mtu hafi inatokana na maagano nadhiri na viapo hasa na nguvu za giza...huyo mtu hafi mpaka atengue hayo mamboMkuu umenikumbusha kisa cha bibi yangu mzaa baba, alikufa kifo cha mateso sana!! Alianza kuugua 2004 akafa mwaka jana 2015... Cha ajabu wakati yupo hospitali ameoza upande mmoja hatamaniki baba akaota ndoto aende kijijini kwao kuna kitu kipo kwenye sanduku la huyo bibi akakichome moto...
Kweli alikwenda na kukikuta alipokichoma moto tu huku akapigiwa simu toka mbeya mjini bibi kakata roho!! Japo hakuwahi tusimulia ni nini hasa alichoma but hali ndo hiyo.
Sio story......majambaz ya Kirundi yako hivyo.....ningekupa story moja hivi ila nitakiuka miiko ya kazi yangu.Hakuna cha muku wala mimi bana.
Ni stori tu.
Police nao wako vizuri......kamat za ufundi wanazijua kweli kweli.Haahaahaa mkuu mie nataka nichanjiwe muku nikafanye fujo kituo cha polisi.
Mkuu natamani niseme kitu lakin mdomo unakuwa mzito....Mwaka 1991 pale Lushoto huku chuo cha mahakama by then chuo cha ccm kuna jamaa maarufu sana Muuza mitumba wa enzi hizo almaarufu kama Mahmoud...huyu jamaa alipigwa karibu na daraja moja usiku na kichwa chake kinapondwa na mawe
Wale wabaya wake wakidhani wamemaliza kazi jamaa aliokotwa alfajiri akiwa bado hai na kupelekwa hospital ya Lushoto, pale alikutwa na skull fracture 11, akawahishwa KCMC Moshi ambako alikaa miezi mitatu...kesi yake ni mojawapo ya maajabu kule Lushoto miaka ile....Mahmoud alikuwa kachanjiwa muku
Ukizaliwa Ocean road ukasoma Bunge sekondari Tambaza chuo kikuu UDSM kazini Ips haya mambo utaona ni story za kusadikika