Yahusu kuchanjiwa muku

Yahusu kuchanjiwa muku

mshana jr test ya muku haiishii kwenye majambia tu,; ni visu, nyembe, sindano, misumari na risasi ya ukweli ukweli lazima idufue mwili wako tena inalengwa kifuani!
Hutakiwi kuwa muoga siku ya kuchanjwa na kwenye tukio la test vinginevyo ukitestiwa inaingia mazima na risasi itakuuwa!!

Huko kigoma hii kitu inaitwa "VIDONO"
Na wakaguru wanaipata kwa mtemi wao anaitwa "JENGA" inapatikana wilaya ya Gairo kijiji cha Idibo- hakatizi maasai hapo kijijini na ikitokea kakatiza huchinjwa kama kuku na jeshi kuu la "MWANO"
Kule kanda ya ziwa inaitwa "BHULABHUKA"
Ilishawahi kututesa hii kitu mwaka juzi bibi alipofikia kufa ktk umri wake wa miaka 100+ alitusubirisha mpaka wiki mbili hafi huku mwili ukiwa umeoza ila bado angali anapumua!!!

Mwishoni alikuja mdogo wake akaamuru tutoboe juu ya paa na mwiba wa nungunungu!!!

Dunia ina maajabu acha kabisa!!
 
Hivi hio MUKU itafanya kazi ukipigwa risasi?. Siku, Saa na dakika ikifika hakuna Muku kuchelewesha kifo wala nini chanjo gani ina nguvu zaidi ya amri ya Mungu??
Ukisoma bila kukurupuka nimesema kwamba hata mtu aliyechanjiwa muku akifa kwa ..... na ....mwili wake huchelewa mno kupoa na sio kupoa tu bali hukakamaa na kukunja sura
 
mshana jr test ya muku haiishii kwenye majambia tu,; ni visu, nyembe, sindano, misumari na risasi ya ukweli ukweli lazima idufue mwili wako tena inalengwa kifuani!
Hutakiwi kuwa muoga siku ya kuchanjwa na kwenye tukio la test vinginevyo ukitestiwa inaingia mazima na risasi itakuuwa!!

Huko kigoma hii kitu inaitwa "VIDONO"
Na wakaguru wanaipata kwa mtemi wao anaitwa "JENGA" inapatikana wilaya ya Gairo kijiji cha Idibo- hakatizi maasai hapo kijijini na ikitokea kakatiza huchinjwa kama kuku na jeshi kuu la "MWANO"
Kule kanda ya ziwa inaitwa "BHULABHUKA"
Ilishawahi kututesa hii kitu mwaka juzi bibi alipofikia kufa ktk umri wake wa miaka 100+ alitusubirisha mpaka wiki mbili hafi huku mwili ukiwa umeoza ila bado angali anapumua!!!

Mwishoni alikuja mdogo wake akaamuru tutoboe juu ya paa na mwiba wa nungunungu!!!

Dunia ina maajabu acha kabisa!!
Mwaka 1991 pale Lushoto huku chuo cha mahakama by then chuo cha ccm kuna jamaa maarufu sana Muuza mitumba wa enzi hizo almaarufu kama Mahmoud...huyu jamaa alipigwa karibu na daraja moja usiku na kichwa chake kinapondwa na mawe
Wale wabaya wake wakidhani wamemaliza kazi jamaa aliokotwa alfajiri akiwa bado hai na kupelekwa hospital ya Lushoto, pale alikutwa na skull fracture 11, akawahishwa KCMC Moshi ambako alikaa miezi mitatu...kesi yake ni mojawapo ya maajabu kule Lushoto miaka ile....Mahmoud alikuwa kachanjiwa muku
Ukizaliwa Ocean road ukasoma Bunge sekondari Tambaza chuo kikuu UDSM kazini Ips haya mambo utaona ni story za kusadikika
 
Kuna wazee ambao huishi mpaka wakazeeka sana na hata wakiugua huwa hawafi, mpaka wanakuwa vikongwe wanateseka tu makabila mengine huchinja kondoo na ngozi yake kumfunika ili afe, nimesikia hizi story vipi na wao wanakuwa wamechanjiwa MUKU?
 
M
9363e1edc473b7a33c68947b49b28467.jpg
Hili neno laweza kuwa na tafsiri nyingine kwa wengine lakini kwa watu wa Tanga lina maana yake muhimu ya ugumu ujasiri na roho ngumu
Hili nililishuhudia huko Lushoto kwa watu kadhaa waliochanjiwa muku...ni wagumu kuugua kuumia na kiboko ya yote kufa.....aliyechanjiwa muku ni mtu mwenye roho ngumu hasa akikamatwa kwa mfano kwenye tukio la ujambazi au wizi na wananchi wenye hasira kali wanaweza kumpiga mpaka wakadhani wameua lakini siku inayofuta akakutwa bado anapumua
Muku ni mzuri Unapokuwa hai lakini ni kitu kibaya kabisa unapokaribia kuachana na dunia hii kwa maana ya kifo...watu waliochanjiwa muku hufa kwa mateso makubwa sana kutokana na madawa aliyokunywa na kufanyiwa...akifanikiwa kufa mapema basi si chini ya siku tatu na hata akipata ajali mbaya kabisa au hata kuchomwa moto au kukatwa shingo mwili wake huchukua muda mrefu mno kupoa
Ninafahamu wengi wanapenda ujasiri na kuwa na kinga ya muku lakini kumbuka mateso siku roho yako ikitaka kuachana na mwili wako
Ukiweza kafanye lakini madhara yake ndio hayo

MUKU, BUNDUGO, PUFYA ni mambo ambayo enzi hizo kila familia na jamii lazima wawape watoto wao hadi wanawake, ilikuwa ukikamatwa na mwananmke anaweza kukuvunja mkono na usimfanye chochote kabisa. WADIGO hasa wa mwambao wa Tanga hadi Kenya wanafahamu sana haya mambo ila kwa sasa yamepungua.

Kipindi hicho gari kama fuso ikikwama sio lazima uite mji mzima vina kuja vidume 3 tu na fuso inawekwa pembeni na watu wanasepa zao. hii ilitumika sana katika mambo ya ulinzi na kujihami.

KENYA kuna mwaka ulitokea kikundi cha UASI kinaitwa KAYABOMBO, haaaaaa habari yake inatisha kabisa kabisa.
 
Mambo ya kayabombo haya
1461172008334.jpg
1461172014524.jpg
1461172020245.jpg
 
Ngoja nitoe ufafanuzi kuhusu MuKU! Hii no dawa anayochanjiwa MTU, kwa madhumuni ya kuwa na nguvu nyingi, madhalani akiamua kulima, atalima bila kuchoka kwa muda mrefu sana, na inakuwa poa kwa wenye kufanya kazi ngumu! Nilipokuwa Mdogo pale nje ya nyumba yetu, had LEO! Luna wajomba zangu Wasambaa, wanabeba magunia Yale rumbesa, bila kuchoka! I see hii inasaidia sana ila kwenye ugomvi na MTU aliyenjanjiwa MUKU kaa mbali
 
Asante kwa hili sikuliweka kwenye bandiko langu hii ndio maana halisi ya muku
 
Kama ni bondia na unataka uwapige wapinzani wako MUKU itafanya kazi?

mwasu;
Hapana, hapo ndipo uganga unaniacha hoi. Bondia anaenda kule kwa uchokozi. mshan jr amekuambia kuwa ukichokozwa sawa ila ukichokoza, utadundwa tuu. Mfano; Umevamiwa na majambazi, nyumbani au njiani. Hata wawe wangapi, utawadunda kisawia
 
Test ya kuangalia kama dawa ya muku imekubali ni kuchimbiwa shimoni na kinu cha mahindi Kuwekwa kichwani kisha watafutwe kina mama wawili wenye nguvu wayatwange mpaka yalainike

Test nyingine za muku ni kukatwa na jambia bila kupata madhara makubwa, kupita kwenye moto mkali na kuangushwa kwenye gemo

Duh, majaribio mengine si kutishana huko??
Ila nilishasikia, hata kule kigoma wakati wa uchaguzi kuna vijana huwa wanafanyiwa hiyo kitu.

Mkuu vipi kwa mfano bondia akichanjiwa hiyo muku, hawezi kuwa kama maiweza kweli??
 
Aisee! hawa wazee wa zamani walikuwa ni hazina haswa.

mwasu;
Ni kweli mwasu, lakini walikosa wa kuwaachia huo urithi kwani vijana wa leo ukiwaonesha utaalam huu wanautumia vibaya. Leo, jambazi linaulipia chochote ili liweze kujikinga na risasi kumbe sio kusudi la muku. Mtu anaenda kuchanjiwa ili aweze kuchukua vitu vya watu kwa nguvu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom