Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,918
- 38,244
Sipendi kuwa msemaji kama ni kweli hii sehemu aijulikani basi tra na police wote walaumiwe sana tu..
Nimekaa kwa muda na ile ilikuwa njia yangu ukweli wana mwaka na wanaingiza zile container na mshtuko wangu nimewahi kufwatana usiku wa manane zaidi ya mara tisa container mbele defender nyuma na sio moja container
si hivyo tu nimewahi si mm wa mtaani pale wamekuwa wakiona defender za tra zikipaki ama karibu na pale ama ukiingia kwa ndani wakuna ka garage zimepaki hapo na.watu wanaingia.ndani
leo nimeshtuka kuona ati sehemu hii aijulikani na.tra..kweli??mh raisi basi kuna umuhimusana wa kurekodi upya idadi ya sehemu za kuhifadhia container...sana tu kuacha kushangaa maajabu ya leo
hiyo sehemu imeingiza container nyingi tu usiku wa manane...sasa kidogo tra mtusaidie kwa hili pia nani alikuwa anakuja na gari zenu
nani anawapa escort na defender...wakati muhimu tuwe wazi