Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,714
- 11,321
Dah Zanzibar wanajua nini maana ya haya matukio maana yalishatokea huko Ila huku Bara hata viongozi wenyewe wapo busy na Ngoma huko MbeyaMkuu kwetu huku Zanzibar leo kumepoa kweli.
Dah Zanzibar wanajua nini maana ya haya matukio maana yalishatokea huko Ila huku Bara hata viongozi wenyewe wapo busy na Ngoma huko MbeyaMkuu kwetu huku Zanzibar leo kumepoa kweli.
Thubutu Mbona ngoma Kapelela Tukuyu ? Si zingefanyika pale SokoineDr Tulia anakubalika Mbeya vibaya sana.
Sugu anza kutafuta kazi ya kufanya
Mkuu jamaa wanambinu nyingi sana, siumeona kinachoendela chini chini, figisu nyingi mno, 2020 nahisi mbeya na arusha damu itamwagika.kumtoa sugu bila kumuua haitawezekana , andaeni vikosi na vifaru , kwenye sanduku haitatokea .
Anahangaika nini sasa wakati wana uwezo wa kugeuza matokeo hata kwa kuiba kura??? Ni sawa na madiwani wanaopiga kampeini wakati washaachiwa wachuke tuDr Tulia anakubalika Mbeya vibaya sana.
Sugu anza kutafuta kazi ya kufanya
Ni wakati sasa wa kuachana na hii dhan ya viongozi wa "mioyo".Hata kama tume itampitisha ubunge wa Mbeya lakini Sugu ni mmbunge wa mioyoni mwa watu
Asithubutu kugombea Mby Mjini,unazani Bungeni ukuda anaoufanya hatuuoni?akaj.mbe kwengineDr Tulia anakubalika Mbeya vibaya sana.
Sugu anza kutafuta kazi ya kufanya
Umejuaje?Dr Tulia anakubalika Mbeya vibaya sana.
Sugu anza kutafuta kazi ya kufanya
Katika kusikiliza taarifa za vyombo vya habari, nimeshangaa kusikia waziri Mwakyembe pamoja na Naibu Spika Tulia wakiendelea na tamasha la ngoma za kienyeji linaloitwa tulia bila kujali kwamba taifa liko ktk kipindi cha maombolezo! Kisingizio eti waliimba nyimbo za maombolezo lakini ktk maelezo niliyoyasikia, Tulia mwenyewe anasema washiriki wameburudisha!
Kama sikuelewa taarifa hiyo, naomba samahani, lakini kama niko sahihi, hawa ni watu wanaostahili kulaaniwa kwa kila aina ya maneno na kupewa sifa zinazoonyesha hawafai. Mambo ya wanasiasa, lazima yawe ni symbolic. Waziri mkuu amekatisha ziara na kuelekea kwa walioathirika. Waziri wake hakuona sababu hiyo. Naibu spika hakuona sababu ya kuachana na ratiba yake.
Achakudanganya watyu ww upo Mbeya ya wapi wwDr Tulia anakubalika Mbeya vibaya sana.
Sugu anza kutafuta kazi ya kufanya
Angalia mfumo wachaguzi unavyo endelea naujitakakhari sio unalopokaMuda si mrefu atakuwa meneja wa hoteli yake
Anahangaika nini sasa wakati wana uwezo wa kugeuza matokeo hata kwa kuiba kura???
Haipendezi mwanaume kuwa mmbea na mzushi.Dr Tulia anakubalika Mbeya vibaya sana.
Sugu anza kutafuta kazi ya kufanya