Katika kusikiliza taarifa za vyombo vya habari, nimeshangaa kusikia waziri Mwakyembe pamoja na Naibu Spika Tulia wakiendelea na tamasha la ngoma za kienyeji linaloitwa tulia bila kujali kwamba taifa liko ktk kipindi cha maombolezo! Kisingizio eti waliimba nyimbo za maombolezo lakini ktk maelezo niliyoyasikia, Tulia mwenyewe anasema washiriki wameburudisha!
Kama sikuelewa taarifa hiyo, naomba samahani, lakini kama niko sahihi, hawa ni watu wanaostahili kulaaniwa kwa kila aina ya maneno na kupewa sifa zinazoonyesha hawafai. Mambo ya wanasiasa, lazima yawe ni symbolic. Waziri mkuu amekatisha ziara na kuelekea kwa walioathirika. Waziri wake hakuona sababu hiyo. Naibu spika hakuona sababu ya kuachana na ratiba yake.