Yaani tamasha la Tulia limeendelea bila kujali maombolezo!!

Tuache kufurahi.kwa misiba yenu ya kujitakia.
boti ya watu kumi mmejaza 100.
Alafu watu wafe.muweke maombolezo.ya nini sasa?
 
Katika kusikiliza taarifa za vyombo vya habari, nimeshangaa kusikia waziri Mwakyembe pamoja na Naibu Spika Tulia wakiendelea na tamasha la ngoma za kienyeji linaloitwa tulia bila kujali kwamba taifa liko ktk kipindi cha maombolezo! Kisingizio eti waliimba nyimbo za maombolezo lakini ktk maelezo niliyoyasikia, Tulia mwenyewe anasema washiriki wameburudisha!

Kama sikuelewa taarifa hiyo, naomba samahani, lakini kama niko sahihi, hawa ni watu wanaostahili kulaaniwa kwa kila aina ya maneno na kupewa sifa zinazoonyesha hawafai. Mambo ya wanasiasa, lazima yawe ni symbolic. Waziri mkuu amekatisha ziara na kuelekea kwa walioathirika. Waziri wake hakuona sababu hiyo. Naibu spika hakuona sababu ya kuachana na ratiba yake.

Sijui siasa zina sumu gani kali hivi ya kufisha akili,utu,ubinadamu na hata hofu ya Mungu!Mtu utamkuta ni msomi mzuri na wa elimu kubwa,ila akiingia kwenye siasa ni AIBU tupu!Kabla ya siasa utamkuta mwingine ni muumini mzuri sana ktk IMANI yake lkn akionja tu siasa anamfananisha Mungu na mjomba wake!SASA NAJIULIZA HIVI WANADHANI KIFO KITAANGALIA UHESHIMIWA WAO?
 
Dr Tulia anakubalika Mbeya vibaya sana.

Sugu anza kutafuta kazi ya kufanya
Analazimisha tu huyo Tulia Mapenzi.Nakuhakikishia kati ya wapinzani wenye chance ya kurejea mjengoni ni huyo #Jongwe mkuu
 
Katika kusikiliza taarifa za vyombo vya habari, nimeshangaa kusikia waziri Mwakyembe pamoja na Naibu Spika Tulia wakiendelea na tamasha la ngoma za kienyeji linaloitwa tulia bila kujali kwamba taifa liko ktk kipindi cha maombolezo! Kisingizio eti waliimba nyimbo za maombolezo lakini ktk maelezo niliyoyasikia, Tulia mwenyewe anasema washiriki wameburudisha!

Kama sikuelewa taarifa hiyo, naomba samahani, lakini kama niko sahihi, hawa ni watu wanaostahili kulaaniwa kwa kila aina ya maneno na kupewa sifa zinazoonyesha hawafai. Mambo ya wanasiasa, lazima yawe ni symbolic. Waziri mkuu amekatisha ziara na kuelekea kwa walioathirika. Waziri wake hakuona sababu hiyo. Naibu spika hakuona sababu ya kuachana na ratiba yake.
Umetumwa na Sugu?, Kama hajakutuma basi mleta uzi ni Wewe Sugu mwenyewe
 
Jana nasikia kuna team zimecheza wakati mkuu katangaza maombolezo ya ndugu zetu waliokufa maji huko mwanza.
 
Katika kusikiliza taarifa za vyombo vya habari, nimeshangaa kusikia waziri Mwakyembe pamoja na Naibu Spika Tulia wakiendelea na tamasha la ngoma za kienyeji linaloitwa tulia bila kujali kwamba taifa liko ktk kipindi cha maombolezo! Kisingizio eti waliimba nyimbo za maombolezo lakini ktk maelezo niliyoyasikia, Tulia mwenyewe anasema washiriki wameburudisha!

Kama sikuelewa taarifa hiyo, naomba samahani, lakini kama niko sahihi, hawa ni watu wanaostahili kulaaniwa kwa kila aina ya maneno na kupewa sifa zinazoonyesha hawafai. Mambo ya wanasiasa, lazima yawe ni symbolic. Waziri mkuu amekatisha ziara na kuelekea kwa walioathirika. Waziri wake hakuona sababu hiyo. Naibu spika hakuona sababu ya kuachana na ratiba yake.

Lea maandalizi mkubwa yaliyofanyika isingewezekana kuahirisha. Mbona hamuwaulizi TFF ligi inaendelea kama kawaida katikati ya maombolezo.
 
Huyu Tulia anapata wapi pesa za kufadhiri hayo makongamano? Maana Hyo jana ametumia kama mil 70 kama zawadi kwa washiriki
 
Dr Tulia anakubalika Mbeya vibaya sana.

Sugu anza kutafuta kazi ya kufanya
😂😂😂😂😂hadi unatia huruma kwa kuandika pumba....wee unakaa Nyabirango,Kibondo huko utajuaje mambo ya Mbeya wakati TV station yako ni TBC? Eti sugu atafute kazi nyingine kisa Tulia!! Au kwa sababu siku hizi hakuna uchaguzi bali uteuzi????
 
MLETA mada usijifanye unakuza sana misiba aliyekufa kafa hata msiba ukiweko mahali duka la mangi au la mpemba hufunguliwa kama kawaida msiba hata uwe nyumba ya pili.Kwenye barabara nyingi ukipita barabara hiyo hiyo mnapishana na magari wengine wako msafara wa harusi wanapiga matarumbeta wengine wamebeba maiti wanaomboleza hadi basi.Maisha huwa hayasimami sababu kuna watu wamekufa hata kama ni halaiki.Mbona huulizi kwa nini mabaa ya wachaga na ya wanachadema ambao wengi ndio wamiliki wa mabaa mengi na grocery kwa nini yasifungwe nchi nzima kuomboleza huo msiba? Kilimanjaro hapa watu wanatandika mipombe kama kawaida na mziki mkubwa kama kawaida.Mabaa kama kawaida.Mnafiki mkubwa wewe
Yaani unawalinganisha wawili hawa na Mkiti wako wa sherehe ya ndoa! Hujui nidhamu ya waziri au naibu spika inatakiwa iweje!

Mleta mada hajasema watu wa aina ya Tulia na Mwakyembe hawana wenzao. Mpo wengi tu na huenda muliozidiwa ni wengi.

Hata ngiri akipoteza mwenzake anaelewa. Inakuwaje wewe hujitambui. Kiasi hicho?
 
Sijui siasa zina sumu gani kali hivi ya kufisha akili,utu,ubinadamu na hata hofu ya Mungu!Mtu utamkuta ni msomi mzuri na wa elimu kubwa,ila akiingia kwenye siasa ni AIBU tupu!Kabla ya siasa utamkuta mwingine ni muumini mzuri sana ktk IMANI yake lkn akionja tu siasa anamfananisha Mungu na mjomba wake!SASA NAJIULIZA HIVI WANADHANI KIFO KITAANGALIA UHESHIMIWA WAO?
Umenikumbusha za Mwakyembe akitafuta huruma ya wananchi baada ya kudai kutegwa sumu. Alizunguka hadi makanisani akisindikizwa na Sitta. Leo hii hayuko na waathilika wa majanga mengine.

Hawa wawili nitawaona wana maana kama wataomba radhi. Hawa ni public figures. Bila kujitambua, tofauti yao na mkiti wa harusi itakuwa wapi?
 
Katika kusikiliza taarifa za vyombo vya habari, nimeshangaa kusikia waziri Mwakyembe pamoja na Naibu Spika Tulia wakiendelea na tamasha la ngoma za kienyeji linaloitwa tulia bila kujali kwamba taifa liko ktk kipindi cha maombolezo! Kisingizio eti waliimba nyimbo za maombolezo lakini ktk maelezo niliyoyasikia, Tulia mwenyewe anasema washiriki wameburudisha!

Kama sikuelewa taarifa hiyo, naomba samahani, lakini kama niko sahihi, hawa ni watu wanaostahili kulaaniwa kwa kila aina ya maneno na kupewa sifa zinazoonyesha hawafai. Mambo ya wanasiasa, lazima yawe ni symbolic. Waziri mkuu amekatisha ziara na kuelekea kwa walioathirika. Waziri wake hakuona sababu hiyo. Naibu spika hakuona sababu ya kuachana na ratiba yake.
Hao ndio viongozi wetu tena huyo anaongoza moja ya mhimili
 
Back
Top Bottom