wewe mandenyi wewe, hivi unaujua unautesa sana moyo wangu?
Hivi unajua kama nakupenda sana?
Unajua post zako ni za kiutu uzima sana?
sasa kwanini hufanyi yafuatayao
1. Hutaki kuelewa kama nakupenda sana
2. hujawahi kunipa like hata moja
3. hujawahi kata ku quote post yangu hata moja
4 hujawahi kuniomba friendship
5. hujawahi kuni tag
6. hujawahi kuni mensheni kwenye post yako
7. hujawahi kunitumia PM hata moja
yaani hujawahi kunifanyia kitu
yaani hata mtu akinitoboa na sindano sijui kama nitasikia. nilikua na hamu na wewe sana. hata siamini
Huruma ipi tena hiyo kwani?
wewe mandenyi wewe, hivi unaujua unautesa sana moyo wangu?
Hivi unajua kama nakupenda sana?
Unajua post zako ni za kiutu uzima sana?
sasa kwanini hufanyi yafuatayao
1. Hutaki kuelewa kama nakupenda sana
2. hujawahi kunipa like hata moja
3. hujawahi kata ku quote post yangu hata moja
4 hujawahi kuniomba friendship
5. hujawahi kuni tag
6. hujawahi kuni mensheni kwenye post yako
7. hujawahi kunitumia PM hata moja
yaani hujawahi kunifanyia kitu
Unampenda kweli au ni hiki kibaridi cha June?
sijui ninaota.
Anakupenda na hujamfanyia vyote alivyotaja, muonee huruma msikirize na mpe anachotaka.
Kitakuwa kibaridi hiki ndio kinaanza kumzingua tu,,,,,