zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
Ikikushinda utashindwa na kila kitu. Badilisha matatizo kuwa fursa. Tumia hiyo kama fursa yakubadilisha utulivu wako wa ndani (inner peace) ili ikakusaidie hata kwenye maisha ya nje ya ndoa. Matatizo hayakimbiwi, unakabiliana nayo na utashinda mpaka utajishangaa.Kama kichwa cha habari kinasema wadau
Mimi ndoa imenishinda fikiria huyuu mwanamke tumezaa watoto 2 lakini asaivii kabadilika ety akitoka kuoga mimi ananiambia nitoke nje nitamchungulia hii ni haki kweli