Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 12,212
- 17,005
Labda marioo!
Kuwa mbabe acha ungese
Wewe ndio Sheria, inakuwaje yeye ndio akupangie.
Kuwa mbabe acha ungese
Wewe ndio Sheria, inakuwaje yeye ndio akupangie.
Babako alimuoa mamako? Nauliza tu ili nijue kama na babako tunamuhesabu kwenye wapumbavu.Wapumbavu tu ndio wanaoa ndoa , ndio maana kupata visa kama vyako ni rahisi mno🤔
Nilikua nimelewa potezeaBabako alimuoa mamako? Nauliza tu ili nijue kama na babako tunamuhesabu kwenye wapumbavu.
Acha kutuchoraKama kichwa cha habari kinasema wadau
Mimi ndoa imenishinda fikiria huyuu mwanamke tumezaa watoto 2 lakini asaivii kabadilika ety akitoka kuoga mimi ananiambia nitoke nje nitamchungulia hii ni haki kweli
😢😩Wanaume tumebaki wachache sana.
Matokeo hadi sasa ni Mwanamke 3- 0 Mwanaume.
Msiwanyweshe mbege watoto jamani, ni hatari kwa afya zao.
Shida inaonekana iko kwako maana hata ulivyowasilisha dai lako ni kivivu na kinyonge sana. Sasa mwanamke hataki mwanaume mvivu au mnyongeKama kichwa cha habari kinasema wadau
Mimi ndoa imenishinda fikiria huyuu mwanamke tumezaa watoto 2 lakini asaivii kabadilika ety akitoka kuoga mimi ananiambia nitoke nje nitamchungulia hii ni haki kweli
Ndo ni utapeli ndo.mana nakula waliopo kwenye ndoa ila mimi kuoa no
Ndo ni utapeli ndo.mana nakula waliopo kwenye ndoa ila mimi kuoa no
Alafu mbaga kaoa labda huyo drakekaka dronedrake Mbaga Jr umeskia
Ngoja aseme Mbaga JrAlafu mbaga kaoa labda huyo drake
Wewe una mke mkuu acha zako...Nimeoa mkono wangu, kila siku unanipandisha mnazi 🔥
Labla umenifananisha mkuuWewe una mke mkuu acha zako...
Nimefatilia na kujua hilo...
Ahahahaha acha kutuzuga humu
utakufaNimeoa mkono wangu, kila siku unanipandisha mnazi 🔥
Bc ungekuta nimekufa miaka 10 iliyopitautakufa