Yaaan ndoa imenishinda asee

Yaaan ndoa imenishinda asee

Pole mkuu,mimi ata sina ushauri kwenye hilo

Vipi kazi ulipata ???
 
Ukitaka kupata shida Ktk Huu ulimwengu
Mpende mwanamke, na mwanamke ajue kua unampenda. Utapata Tabu sana.
Mwanamke ni Kiumbe Hatari kuliko Hata Nyoka koboko.
Mwanamke na Nyoka ni mtu na Ndugu yake.
Huyo mwanamke anakufanyia hivyo anajua kua unampenda ndomana anakupa mashariti hayo.
 
Sio wewe uliyesema umeita demu toka toangoma ??

Akaja ukaichapa mchana wa jua Kali ?? Huku huna hata mia tano mbovu sio wewe ??

Unayekaa darajani sio wewe ??

Unafurahisha jukwaa
 
Au siku ya kufunga ndoa hamkuambiana kuwa nyie ni kitu kimoja?hata chabo kweli nacho ni kitu cha kunyimwa?
 
Sio wewe uliyesema umeita demu toka toangoma ??

Akaja ukaichapa mchana wa jua Kali ?? Huku huna hata mia tano mbovu sio wewe ??

Unayekaa darajani sio wewe ??

Unafurahisha jukwaa
Ni mm wasemajeee
 
We nae unamtafutia sababu tu ya kumuacha, kwani ukimpisha unapatwa na nini?, kwani mwili wake hauujui? Unataka uufahamu Tena Kwa mara nyingine?. Umri wako ndo unakufanya useme haya mkuu. Unafeli.
 
Kama kichwa cha habari kinasema wadau

Mimi ndoa imenishinda fikiria huyuu mwanamke tumezaa watoto 2 lakini asaivii kabadilika ety akitoka kuoga mimi ananiambia nitoke nje nitamchungulia hii ni haki kweli
Hilo bafu liko wapi, acha utoto
 
Back
Top Bottom