Ya Magufuli na Dr. Tulia ni mpango wa CCM dhidi ya Lowassa

Ya Magufuli na Dr. Tulia ni mpango wa CCM dhidi ya Lowassa

Hivi naibu mwanasheria mkuu nae ni mtumishi Wa umma. Sheria inamruhisu kuwa kada wa chama cha siasa????
Maana nasikia amechukua fomu kupitia chama cha mapinduzi.
 
Kama si kinana basi jana kamati kuu ilikuwa kushikana mashati, baada ya mkwere kuleta mchezo wake wa siku wanateuwa majina ya urais dodoma. Alikuwa hamtaki kabisa Ndugai, wakamwambia km si ndugai, Zungu au Nchimbi usishangae spika akawa upinzani, Mkuu akang'akaa, ndipo ikabidi ameze tuu!!!!

Team lowassa bado inatesaaa

Siasa za makundi na mitandao vimetuharibia sana nchi
 
Wewe ulikuwa unatuambia maneno kama haya wakati wa mafuriko na safari ya matumaini ya Lowassa!

Mfuriko na safari ya matumaini ya Lowassa imeishia Monduli!

Kitu gani ambacho kwa sasa utatuambia tukuamini kwenye kauli zako.

By the way, Kwa nini Ndugai anapigiwa debe na watu waliokuwa kwenye TimuLowassa au Ulipo Tupo?

I begins to smell a rat!

mzee bado hajaenda kuchunga ng'ombe monduli???
 
Na hii ndio inaonyesha ccm hakunaga demokrasia bali wanakuwa na mtu wao wa kitengo tayari. Wana tabia ya kudhalilisha wagombea

Tunasubiri demokrasia ya ukawa kwa mara nyingine. Tuliona jinsi Lowassa alivyopata nafasi ya kugombea urais kwa "demokrasia " ndani ya cdm.
CCM angalau wana mfumo unaoeleweka wa Kupata mgombea wa uspika. Wa ukawa /cdm upoje?
Isije ikawa mnasubiri wale waliokatwa ccm ili mpate mgombea uspika!
 
  • Thanks
Reactions: nao
All women are not the same. It is true Makinda was a disaster but let's give this lady doctor of law a chance. I am almost sure she will bring the change we have been waiting for. She is very confident in whatever she says and does. Wanaccm ambao si waadilifu ndiyo wanaomwogopa. We have been waiting for good governance for a long time and this should start from parliament.
I do agree with you bro this is the time we have been waiting for. I blv she will do wonders and meet our expectation.
 
Siyo suala la kumuuzi Mwenyekiti wa CCM-Taifa, hufahamu kama serikali niya CCM?

Unadhani Mwenyekiti wa CCM-Taifa, Rais Kikwete angeweka Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye siyo CCM?

Huu ni ukweli pamoja na kwamba ni ukweli mchungu!

Ndio maana nikaweka wazi kuwa hakuwa fair kwa maamuzi ya shauri lile.
 
huwezi kwepa maagano, lzm yahitimishe safar

Maagano ya kihuni ya watu kugawana madaraka ya nchi mitaani.
Eti nikimaliza mie urais zamu yako.
Lowassa alivyosema hivyo tu pale sheikh amri abeid akapoteza sifa.
Ni kinyume cha sheria na misingi ya kikatiba watu kurithishana madaraka kishkaji huko mitaani kwa manufaa yao binafsi.
Mshatuona sie mafala.
Kwa hiyo kelele zote ni za kuhakikisha maagano ya kihuni na kipuuzi yanatekelezwa???
Ndo maana mliishiwa pumzi na kingunge wenu.
 
  • Thanks
Reactions: nao
How guaranteed is she?...Ndio ufahamu nguvu ya ''kitengo'' katika maamuzi ya nchi hii...
Nchi zote lazima ifike pahali watoa maamuzi watoe bila kujali hisia za wengi, ndo tawala zilivyo.
 
Chenge, Tibaijuka, Ngeleja wameshinda kwa kutaja ufisadi? ni nani amekudanganya kwamba Watanzania ufisadi ni ajenda yao? nchi imejaa majizi kuanzia mfagiaji mpaka Rais.

uko sahihi. kukemea ufisadi si jambo LA kukurupuka ili upate kura bali permanent ajenda.
upinzani ulitaja kupambana na ufisadi wa kimfumo na si kama kasuku. that's y walisema watahakikisha katiba ya wananchi inapatikana ambayo ndo dawa ya ufisadi na kujilimbikizia Mali na vyeo
 
Magufuli hawezi kumteua mtu ambaye si Mkatoliki ... Tulia hawezi kupewa ... Mark my word...
MAGUFULI ANAMTAKA NANI?
Katika mchakato wa kumpata Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma, agenda kubwa imekua mawazo ya Rais Magufuli ni yapi?
1. Je Magufuli anamtaka kijana Abdulla Mwinyi mbunge wa Afrika Mashariki?

2. Je, Rais Magufuli anamtaka Job Ndugai?

3. Je, Rais anamtaka Dkt. Tulia Ackson, aliyekua naibu mwanasheria mkuu wa serikali?
Nafasi ya Spika ni nafasi nyeti sana katika utendaji wa serikali na Bunge. Inahitaji mtu ambaye ni mtulivu, mwenye hekima na busara katika kuendesha mambo.
Rais Magufuli anahitaji Spika ambaye hatakua mkorofi wala mpenda sifa kupitiliza. Bali Spika mwenye kufuata weledi na kanuni katika kuongoza bunge.
Rais Magufuli hahitaji mamluki wala kibaraka wa waliokua wasaka Urais. Anahitaji mtu msafi asiye na madoa wala kashfa.
Rais Magufuli hahitaji watu walewale katika serikali na safu ya mihimili ya serikali. Hawa watamsumbua na kuleta ujuaji mwingi.

Rais Magufuli ni mtu wa kazi tu. Anahitaji weledi na sio ubabaishaji.
Spika atatoka upande wa Tanzania bara, kwakua Zanzibar tayari wanalo baraza la wawakilishi. Hivyo ukimtoa Abdulla Mwinyi, wanabaki Job Ndugai mtaalamu wa wanyamapori na Dkt Tulia Ackson mwanasheria msomi wa chuo kikuu cha Dar es salaam.
Ukiniuliza Magufuli anamtaka nani? Nitakuuliza unadhani mtu anaweza kuacha nafasi yake ya mwanasheria mkuu wa serikali ili abahatishe uspika? Unadhani kafanya kwa bahati mbaya?
Nani alitarajia kuwa Magufuli angekua Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kama jibu ni hakuna, basi tumtazame vizuri Dr. Tulia Ackson. Hapo ndipo jicho la wenye kuona mbali lilipo.
Twende na Dr. Tulia.
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Ndugai ndio spika wa bunge la 11..... Mimi ni mbunge na nakwambia huyo dada wako akishinda walahi naacha ubunge....
Magufuli anamhitaji Ndugai maana aliruhusu najizi ya escrow yajadiliwe wakati ccm wenzake walitaka kufunika kombe mwnaharamu apite. Sasa kwa kuwa JPM hayapendi haya majizi na mafisadi anamhitaji Ndugai.
 
Ndugai ndio spika wa bunge la 11..... Mimi ni mbunge na nakwambia huyo dada wako akishinda walahi naacha ubunge....

Mavii, uache ubunge kisa huyo demu kawa spika? Mijihela yote usamehe? Utalipaje madeni uliyokopa, ile nyumba uliyouza ili upate hela ya kampeni utairudishaje?
 
Back
Top Bottom