Mzee Mchopu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 268
Kinachonishangaza kidogo ni kuona TimuLowassa wengi wanampigia kampeni Ndugai ili awe Spika!
Hoja ya msingi kwa sasa, kwa nini wanampigia kampeni mwanaCCM?
Ndugai ana mahusiano gani ya karibu na Lowassa/TimuLowassa?
Mbona umeishia kuniuliza?
Hakuna mahusiani per see ila najiuliza ile kuunga HOJA ya Lowassa juu ya kuunda tume ya kutatua Migogoro ya Ardhi aliiunga mkono na alisemea wakati wa kampeni ila inawezekana kua ukaunga hoja ila usimuunge mtu