Ya Magufuli na Dr. Tulia ni mpango wa CCM dhidi ya Lowassa

Nimeipenda hili!
Kwa wapinzani Dr.Tulia kushinda ni faida kubwa!. Nawaomba tena kama atashinda wampe kura za ndiyoooooooooooooo nyingi tu!

Naibu Mwanasheria wa Serikali anakuwa Spika?. Only in Tanzania!
Ukisikia Demokrasia kubakwa ndiyo hivyo tena!
 
Uteuzi umetenguliwa wa nafasi ya awali, kateuliwa mbunge na uteuzi unqqnza mara moja
 
Tulia ndiye aliyetoa tafsiri ya shauri la kibatala kuhusu utata wa mita mia mbili baada ya kupiga kura. Kama kweli anagombea kupitia ccm inamaana alitoa hukumu kwa kutotaka kumuuzi mwenyekiti wa chama chake.
Imany John, Dr ulia ni mwanasheria wa serikali na sio jaji, yeye hatoi hukumu, sasa sijui unachozungumza kuhusu kumuuzi mwenyekiti wa chama ni nini ?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenishawishi kiasi
lakini je atauweza mziki wa kina Lissu Mnyika Sugu , MBOWE Prof Jay msigwa , Bulaya.
MAGUFULI ANAMTAKA NANI?
Katika mchakato wa kumpata Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma, agenda kubwa imekua mawazo ya Rais Magufuli ni yapi?
1. Je Magufuli anamtaka kijana Abdulla Mwinyi mbunge wa Afrika Mashariki?

2. Je, Rais Magufuli anamtaka Job Ndugai?

3. Je, Rais anamtaka Dkt. Tulia Ackson, aliyekua naibu mwanasheria mkuu wa serikali?
Nafasi ya Spika ni nafasi nyeti sana katika utendaji wa serikali na Bunge. Inahitaji mtu ambaye ni mtulivu, mwenye hekima na busara katika kuendesha mambo.
Rais Magufuli anahitaji Spika ambaye hatakua mkorofi wala mpenda sifa kupitiliza. Bali Spika mwenye kufuata weledi na kanuni katika kuongoza bunge.
Rais Magufuli hahitaji mamluki wala kibaraka wa waliokua wasaka Urais. Anahitaji mtu msafi asiye na madoa wala kashfa.
Rais Magufuli hahitaji watu walewale katika serikali na safu ya mihimili ya serikali. Hawa watamsumbua na kuleta ujuaji mwingi.

Rais Magufuli ni mtu wa kazi tu. Anahitaji weledi na sio ubabaishaji.
Spika atatoka upande wa Tanzania bara, kwakua Zanzibar tayari wanalo baraza la wawakilishi. Hivyo ukimtoa Abdulla Mwinyi, wanabaki Job Ndugai mtaalamu wa wanyamapori na Dkt Tulia Ackson mwanasheria msomi wa chuo kikuu cha Dar es salaam.
Ukiniuliza Magufuli anamtaka nani? Nitakuuliza unadhani mtu anaweza kuacha nafasi yake ya mwanasheria mkuu wa serikali ili abahatishe uspika? Unadhani kafanya kwa bahati mbaya?
Nani alitarajia kuwa Magufuli angekua Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kama jibu ni hakuna, basi tumtazame vizuri Dr. Tulia Ackson. Hapo ndipo jicho la wenye kuona mbali lilipo.
Twende na Dr. Tulia.
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Ni mwendelezo wa wanawake......

Go Dr. Tulia......
 
spika hawezi kuwa mwanamke safari hii, hapa ni Ndugai tu
Nyie manyumbu wa EL mnamuharibia Ndugai sifa tu, chochote mnacho shabikia nyie lazima mshindwe tu.
Kama mnapendelea Ndugai ashinde ni bora mnyamaze kimya tu.
 
Tatizo lilikuwa ni kufa kwa Chadema. Baada ya Chadema kununuliwa na fisadi mkuu kilichobaki hakikuwa Chadema tena. Agenda zote na falsafa ya Chadema iliyowafanya Watanzania waamini kuwa ndicho chama kitakacholeta mageuzi na mabadiliko Tanzania yalifutika. Iliingia Team Lowasa, ile ile iliyokuwa CCM na kuja kuvaa joho la Chadema ndio wakaingia kwenye uchaguzi. Je, kwa akili za haraka haraka, ulitegemea Team Lowasa iweke ufisadi kwenye agenda? Si wangechekwa??? Kwanza wangekuwa wanamsema nani kama sio kujisema wenyewe?

Weka ushahidi wa tuhuma zako hapa. Kati ya vitu ambavyo vilinichekesha kwenye huu uchaguzi mkuu ni pale ambao niliona mgombea wa chama tawala anakemea ufisadi na kuonyesha kuuchukia hadi kusema akishinda urais ataanzisha Mahakama za majizi na mafisadi...lakini upande wa pili wa wapinzani....tangu kampeni zianze hadi zinamalizika...neno ufisadi, rushwa na wizi hayakutajwa kabisaaaaa. Hii ilinichekesha sana. Only in Tanzania upinzani unaogopa kutaja neno 'ufisadi'.
 
MAGUFULI ANAMTAKA NANI?
Katika mchakato wa kumpata Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma, agenda kubwa imekua mawazo ya Rais Magufuli ni yapi?
1. Je Magufuli anamtaka kijana Abdulla Mwinyi mbunge wa Afrika Mashariki?

2. Je, Rais Magufuli anamtaka Job Ndugai?

3. Je, Rais anamtaka Dkt. Tulia Ackson, aliyekua naibu mwanasheria mkuu wa serikali?
Nafasi ya Spika ni nafasi nyeti sana katika utendaji wa serikali na Bunge. Inahitaji mtu ambaye ni mtulivu, mwenye hekima na busara katika kuendesha mambo.
Rais Magufuli anahitaji Spika ambaye hatakua mkorofi wala mpenda sifa kupitiliza. Bali Spika mwenye kufuata weledi na kanuni katika kuongoza bunge.
Rais Magufuli hahitaji mamluki wala kibaraka wa waliokua wasaka Urais. Anahitaji mtu msafi asiye na madoa wala kashfa.
Rais Magufuli hahitaji watu walewale katika serikali na safu ya mihimili ya serikali. Hawa watamsumbua na kuleta ujuaji mwingi.

Rais Magufuli ni mtu wa kazi tu. Anahitaji weledi na sio ubabaishaji.
Spika atatoka upande wa Tanzania bara, kwakua Zanzibar tayari wanalo baraza la wawakilishi. Hivyo ukimtoa Abdulla Mwinyi, wanabaki Job Ndugai mtaalamu wa wanyamapori na Dkt Tulia Ackson mwanasheria msomi wa chuo kikuu cha Dar es salaam.
Ukiniuliza Magufuli anamtaka nani? Nitakuuliza unadhani mtu anaweza kuacha nafasi yake ya mwanasheria mkuu wa serikali ili abahatishe uspika? Unadhani kafanya kwa bahati mbaya?
Nani alitarajia kuwa Magufuli angekua Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kama jibu ni hakuna, basi tumtazame vizuri Dr. Tulia Ackson. Hapo ndipo jicho la wenye kuona mbali lilipo.
Twende na Dr. Tulia.
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

mnabahatisha nyie mafisadi hamjajipanga we unadhani uraisi wa ngekewa utabadili nini???esahau kuwa ccm ni ile ile!! mtaisoma namba!!1!
 
Weka ushahidi wa tuhuma zako hapa. Kati ya vitu ambavyo vilinichekesha kwenye huu uchaguzi mkuu ni pale ambao niliona mgombea wa chama tawala anakemea ufisadi na kuonyesha kuuchukia hadi kusema akishinda urais ataanzisha Mahakama za majizi na mafisadi...lakini upande wa pili wa wapinzani....tangu kampeni zianze hadi zinamalizika...neno ufisadi, rushwa na wizi hayakutajwa kabisaaaaa. Hii ilinichekesha sana. Only in Tanzania upinzani unaogopa kutaja neno 'ufisadi'.

Weka ushahidi na wewe kwa clip zote za kampeni kwamba UKAWA hawajazungumzia UFISADI kama unafiki na umumbumbu nini. Ni nani alisema ataweka centralization ya Huduma zote za Serikali?
 
Weka ushahidi wa tuhuma zako hapa. Kati ya vitu ambavyo vilinichekesha kwenye huu uchaguzi mkuu ni pale ambao niliona mgombea wa chama tawala anakemea ufisadi na kuonyesha kuuchukia hadi kusema akishinda urais ataanzisha Mahakama za majizi na mafisadi...lakini upande wa pili wa wapinzani....tangu kampeni zianze hadi zinamalizika...neno ufisadi, rushwa na wizi hayakutajwa kabisaaaaa. Hii ilinichekesha sana. Only in Tanzania upinzani unaogopa kutaja neno 'ufisadi'.
Mkuu, una maana JPM hakuwapigia kampeni wagombea ubunge wa sisiemu ambao wameshafukuzwa kwenye nyadhifa kadhaa kwa ajili ya ufisadi? Sasa kama aliwapigia kampeni, kuna jipya hapo? Tunataka VIWANDA, ufisadi ni jambo la ujumla linalotokea kwa watu fulani fulani tu. Huwezi kuendeleza nchi kwa kuuzungumzia ufisadi, leta viwanda ulivyoahidi
 
Ndugai ndio spika wa bunge la 11..... Mimi ni mbunge na nakwambia huyo dada wako akishinda walahi naacha ubunge....

Dr. Tulia ndiye spika ajaye! Pamoja na "ubunge" wako, utashangaa kuona Kura za Ndugai hazitatosha. Mtasoma namba tena!
 
Back
Top Bottom