Xi Jinping amualika Rais Samia China

Xi Jinping amualika Rais Samia China

MANKA MUSA

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
923
Reaction score
1,101
Rais wa Jamhuri ya watu wa China, Xi Jinping amemualika Rais wa Tanzania, Samia Suluhu nchini humo kuanzia tarehe 2 Nov hadi tarehe 4 November 2022 ziara ya kikazi.

Kila la heri Rais Samia katika ziara yako. Mengi mtakayojadili ni kwa faida ya watanzania.
 
Uzuri Xi Jinping anajua kula vizuri sana na vipofu, Hapo kiongozi wa kiafrika ataona KAHESHIMIKA SAANA
Bashite aliwahi kupata mualiko 'kama huo' China. Akapewa treatment ya 'naibu rais'.
Msafara wa Benz nyeusi na ving'ora kama vyote. I guess hata mizinga alipigiwa 😄😄😄
Unfortunately 'kaka yake' hakupenda.
N that was the begining of their fall out. Blaza akasema born 82 wana matatizo sana... 'akamla kichwa' kwenye siti ya ugavana...
 
Rais wa Jamhuri ya watu wa China, Xi Jinping amemualika Rais wa Tanzania, Samia Suluhu nchini humo kuanzia tarehe 2 Nov hadi tarehe 4 November 2022 ziara ya kikazi.

Kila la heri Rais Samia katika ziara yako. Mengi mtakayojadili ni kwa faida ya watanzania.
Kwenye katiba mpya inayokuja tumwambie Rais maongezi yanayohusu nchi yawe must kuwa public .nb ndugai akikaribishwa ka mfalme china na kugeuka kuwa speaker wa bandari ya bagamoyo
 
gersonmsigwa~p~CkNT9wstfzH~1.jpg
 
Hata hivyo amekaa sana Nchini, hajazoea kukaa bila ya kusafiri....
 
Rais wa Jamhuri ya watu wa China, Xi Jinping amemualika Rais wa Tanzania, Samia Suluhu nchini humo kuanzia tarehe 2 Nov hadi tarehe 4 November 2022 ziara ya kikazi.

Kila la heri Rais Samia katika ziara yako. Mengi mtakayojadili ni kwa faida ya watanzania.
Rais Samia Suluhu anaendelea kuimarisha diplomasia
 
Safi sana mama piga kazi. Nchi ilijifungia kama tuko kisiwani bhana
Kweli aisee Tanzania ilikua imejitenga sana lakini toka Rais Samia Suluhu aingie madarakani tumepata fursa nyingi kutoka nje kwasababu Rais Samia Suluhu anaimarisha diplomasia
 
Rais wa Jamhuri ya watu wa China, Xi Jinping amemualika Rais wa Tanzania, Samia Suluhu nchini humo kuanzia tarehe 2 Nov hadi tarehe 4 November 2022 ziara ya kikazi.

Kila la heri Rais Samia katika ziara yako. Mengi mtakayojadili ni kwa faida ya watanzania.
Asante kwa taarifa, angalau sasa yule Twiga wetu arefushe shingo yake hadi Beijing!.
Tupeleke Airbus na itajaa!.
Twenzetuni China kumsindikiza Maa!.
P
 
Hawa Wakomunisti wanaofanya Mauaji ya Kimbari huko Xinjiang wanatutakia nini, nashauri Samia awe makini sana.
 
wachina hawa si wa kuamini hata kidogo, at any time t anaweza kukuingiza chaka.
 
Back
Top Bottom