Xi Jinping amualika Rais Samia China

Xi Jinping amualika Rais Samia China

giphy.gif
Kweli Diplomasia Inarejea taratibu mwisho anamalizia na Katiba, ona jamaa mzuka ulivyompanda safi sana.
 
wachina hawa si wa kuamini hata kidogo, at any time t anaweza kukuingiza chaka.
Naunga hoja,,awe makini na mikopo yao,,wanakuonesha ramani matata na kukupa mchongo kuwa wakikukopesha ukajenga kitega uchumi fulani pesa utapiga za kutosha baada ya kukubali huo mkopo huwa haulipiki na mwisho wanachukua hilo eneo na kuwa lao daima.
 
Kikwete aliwapa gesi ya mtwara huyu anaenda kuwapa nini?
Na bandari ya Bagamoyo iliyoshindikana.

Isingekuwa kelele nyingi, huyu Samia angekuwa shaisakamia. Hata hivyo nina hakika haikosi kuwa moja ya jambo litakalokuwa mbele yao katika mazungumzo.
Ninaamini SGR haikosekani katika mjadala huo, na TAZARA.

Nina wasiwasi sana na Samia juu ya maslahi na hatma ya nchi yetu, lakini tutafanya nini, ndivyo CCM walivyoamua iwe.
Tuombe sana tuvuke salama katika miaka hii michache.
 
Na bandari ya Bagamoyo iliyoshindikana.

Isingekuwa kelele nyingi, huyu Samia angekuwa shaisakamia. Hata hivyo nina hakika haikosi kuwa moja ya jambo litakalokuwa mbele yao katika mazungumzo.
Ninaamini SGR haikosekani katika mjadala huo, na TAZARA.

Nina wasiwasi sana na Samia juu ya maslahi na hatma ya nchi yetu, lakini tutafanya nini, ndivyo CCM walivyoamua iwe.
Tuombe sana tuvuke salama katika miaka hii michache.

Kuna option ya kwenda burundi wahi nafasi zimebaki chache.
 
Kama ni kweli basi aambatane na "First Gentleman"🤨 ....Najaribu kuvuta taswira ya mkuu wa nchi ambaye "First Lady" hajitokezi hadharani pembezoni mwa ubavu wake ingekuwaje.🤔
 
Kuna option ya kwenda burundi wahi nafasi zimebaki chache.
Unaonaje nikikupeleka wewe huko kama ndiko unakokupenda wewe. Usidhani una hati miliki kwa vile tu mtu wako yupo hapo juu sasa hivi.
Watu wapumbavu hujisahau sana.
 
Rais wa Jamhuri ya watu wa China, Xi Jinping amemualika Rais wa Tanzania, Samia Suluhu nchini humo kuanzia tarehe 2 Nov hadi tarehe 4 November 2022 ziara ya kikazi.

Kila la heri Rais Samia katika ziara yako. Mengi mtakayojadili ni kwa faida ya watanzania.
Hakuna ambaye hatamani kushirikiana na Rais Samia kwa Sasa maana kila kiongozi ametambua kuwa Rais Samia Ni kiongozi mwenye maono makubwa Sana ya kiuongozi
 
Kwenye katiba mpya inayokuja tumwambie Rais maongezi yanayohusu nchi yawe must kuwa public .nb ndugai akikaribishwa ka mfalme china na kugeuka kuwa speaker wa bandari ya bagamoyo

Lakini si huwa wanafanya debriefing kwa wanahabari baada ya kikao!?
 
Rais wa Jamhuri ya watu wa China, Xi Jinping amemualika Rais wa Tanzania, Samia Suluhu nchini humo kuanzia tarehe 2 Nov hadi tarehe 4 November 2022 ziara ya kikazi.

Kila la heri Rais Samia katika ziara yako. Mengi mtakayojadili ni kwa faida ya watanzania.

Tanzanian President Samia Suluhu Hassan to Visit China

2022-10-27 10:04
Foreign Ministry Spokesperson Hua Chunying announces:
At the invitation of President Xi Jinping, Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, will pay a state visit to China from November 2 to November 4 2022.
Source : Tanzanian President Samia Suluhu Hassan to Visit China

Source : SpokespersonCHN

发言人办公室​


More Info:

27 October 2022
Tanzanian President to visit China with focus on cooperation in agriculture, infrastructure
By Chen Qingqing

Tanzanian President Hassan will be the first head of state from Africa to visit China after the conclusion of the 20th National Congress of the Communist Party of China, and President Xi will hold a welcome ceremony for Hassan, hold bilateral talks and jointly attend a signing ceremony of cooperation documents, Mao Ning, spokesperson of the Chinese Foreign Ministry, told a routine press conference on Thursday.

Tanzania is an important country in East Africa. China and Tanzania enjoy traditional friendship, Mao said.

"In 2013, during his visit to Tanzania, President Xi put forth the guiding principles of China's policy toward Africa, namely sincerity, real results, affinity and good faith, which have then become China's basic policy on pursuing solidarity and cooperation with other developing countries. In recent years, the two countries have witnessed deepening political mutual trust and fruitful practical cooperation and have maintained sound cooperation in international and regional affairs," the spokesperson said.

The visit of the African head of state was announced as China welcomes other foreign leaders, including Vietnam's Communist Party chief and the Pakistani prime minister following the conclusion of the 20th CPC National Congress. Mao also noted that Hassan's visit to China will inject new impetus into the comprehensive and profound development of China-Tanzania relations and make new progress in bilateral friendship and cooperation, Mao said.

Some Chinese experts believed that the upcoming visit will be of great significance to accelerating bilateral ties, opening a new chapter for China-Africa relations in the post-COVID period.

Tanzania, as an old friend of China, is interested in learning about China's model of development, especially after China's economic reform and opening-up. Besides some traditional areas such as agriculture, in which the two countries have already deepened their cooperation, the two sides are expected to see more growth potential in sectors such as key infrastructure projects, industrialization, supply chain, import and export of agricultural products as well as agricultural processing, some experts said.

China and Tanzania have been seeing their trade and business exchanges growing over the past decades. For example, we have set up some agricultural demonstration centers in the country, investing in many sectors such as cotton and leather, Tang Xiaoyang, professor of the department of international relations at Tsinghua University, told the Global Times on Thursday.

Most recently, the Chinese Embassy in Tanzania held an online training course on Juncao technology from October 11 to 24. Commercial Counselor Chu Kun said at the closing ceremony of the course that China is willing to continue providing assistance to help Juncao technology benefit Tanzanians, according to the embassy's official account on Twitter.

Juncao, which literally means "mushroom" and "grass," can be used, as its name suggests, to grow edible mushrooms, as livestock feed or as a green barrier to combat desertification.

China's Juncao technology has been introduced to 106 countries and regions, helping address poverty in many places including South Pacific countries, Africa, and Latin America, Lin Zhanxi, a delegate to the 20th National Congress of the CPC and inventor of Juncao technology, said on October 16.

"As Tanzania has also been heavily hit by the COVID-19 epidemic, and its overall industrialization remaining at a relatively low level, there will be much more potential for the two countries to cooperate in those areas, for example, in helping to boost the agricultural supply chain, processing of agricultural products and increasing some imports to China," Tang said.

On major infrastructure projects, Tanzanian news outlet The Citizen recently reported that the Tanzania is set to start construction of Bagamoyo Port in the next financial year, a key infrastructure project that was set to include a special economic zone and attract hundreds of companies. Some media reports also predicted that when completed, the port is expected to be the largest in East Africa.

"Negotiations on the port project could be resumed, which could play a more significant role in the future," Tang said. As negotiations on the project between China and the African country were halted due to certain reasons, the upcoming talks are expected to be advanced in a cautious and gradual way, the expert noted.
Source : Tanzanian President to visit China with focus on cooperation in agriculture, infrastructure - Global Times
 
Rais wa Jamhuri ya watu wa China, Xi Jinping amemualika Rais wa Tanzania, Samia Suluhu nchini humo kuanzia tarehe 2 Nov hadi tarehe 4 November 2022 ziara ya kikazi.

Kila la heri Rais Samia katika ziara yako. Mengi mtakayojadili ni kwa faida ya watanzania.
Kwa jinsi Wachina walivyo, huenda Madam President naye akatunukiwa Udaktari wa Heshima endapo atakubaliana na masharti ya ujenzi wa Bagamoyo na mikataba mingine ya kinyonyaji. JK alikula shavu la Uprofesa kwa mikataba ya namna hiyo.
 
recently, the Chinese Embassy in Tanzania held an online training course on Juncao technology from October 11 to 24

National Juncao Seminar in Tanzania

Source : magic grass

MORE INFO :

HABARI ZA ZIADA KUHUSU ZAO HILI KUTOKA CHINA :

Majani ya JUNCAO kuwa suluhisho la malisho ya mifugo​

Published on Wed, 06/29/2022 - 15:55 :
Imeandikwa na Amina Hezron - SUAMEDIA


Wafugaji nchini Tanzania wametakiwa kuanza kulima majani aina ya JUNCAO yanayozalishwa katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kutokana na majani hayo kuonekana kuwa na faida nyingi kwa mifugo na uwezo wake wa kukua haraka na kuvumilia ukame na hivyo kupunguza changamoto za malisho wakati wa kiangazi na kumaliza migogogo ya wakulima na Wafugaji.
SUA

Mhadhiri Mwandamizi na Mtafiti wa Nyasi za JUNCAO kutoka SUA, Dkt. Elly Ligate akikabidhi miche kwa mmoja wa wafugaji.

Wito huo umetolewa siku ya Alhamisi, Juni 23, 2022 na Mkuu wa Idara ya Sayansi za Viumbe Hai na Mtafiti wa Malisho Dkt Beda Mwang’onde wakati wakikabidhi vipando vya miche ya nyasi za malisho hayo aina ya JUNCAO kwa wafugaji na wakulima wa Kijiji cha Lugala ili kukabiliana na changamoto ya malisho na kuacha kulisha kwenye mashamba ya wakulima na yale ya Chuo.

“Aina hizi za nyasi sio malisho tu, bali yanatumika pia kuzalishia Uyoga. Tumeandaa kitalu maalumu kwaajili ya kuzalishia Uyoga kwakutumia haya majani tuone Uyoga utakuwa wa aina gani lakini lengo letu kubwa ni kuzalisha Uyoga dawa pamoja na kupata mbegu ili kuweza kutunza baadhi ya maeneo ya Chuo yanayoathiriwa na mmomonyoko wa udongo”, alisema Dkt Beda.
Majani%20ya%20JUNCAO%20kuwa%20suluhisho%20la%20malisho%20ya%20mifugo-5.JPG

Mkuu wa Idara ya Sayansi za Viumbe Hai na Mtafiti wa Malisho Dkt Beda Mwang’onde akizungumza kuhusiana na upatikanaji wa nyasi hizo SUA


Kwa upande wake Mhadhiri Mwandamizi na Mtafiti wa Nyasi za Malisho hayo kutoka SUA, Dkt. Elly Ligate ameelezea matumizi mengine ya nyasi hizo ni pamoja na malisho kwa samaki, kuhifadhi udongo na kutunza vyanzo vya maji ambapo nchini China hutumika kuzalisha mbao na karatasi na nyasi hizo zinasaidia pia kufyonza hewa ukaa.

Amesema utafiti wa kuboresha Nyasi hizo umefanyika nchini China kwa zaidi ya miaka 20 na kugundulika kuwa na virutubisho vingi muhimu kwa mifugo na kuzifanya zipendwe sana na Wanyama ikiwemo, Ng’ombe, Mbuzi, Kondoo na mifugo mingine kama vile kuku na Bata.


“Nyasi hizi tayari tumeshazisambaza katika mashamba mbalimbali likiwemo la Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye shamba lake la mifugo Msoga na maeneo mengine nchini hivyo wakulima na wafugaji wajitokeze kuchukua mbegu hizo na kuzipanda ili kukabiliana na changamoto ya malisho”, alisema Dkt Ligate.
Majani%20ya%20JUNCAO%20kuwa%20suluhisho%20la%20malisho%20ya%20mifugo-2.JPG

Mmoja ya wafugaji Sanga Mkulago akizungumza jambo na Dkt Ligate kuhusiana na malisho

Akizungumza mmoja ya wafugaji waliopata mbegu hiyo Sanga Mkulago amewashukuru wataalamu wa SUA kwa kuwapatia elimu pamoja na mbegu hizo zitakazokuwa mkombozi kwa mifugo yao na amewataka wafugaji wengine kuhakikisha wanasikiliza maelekezo ya wataalamu na kulima nyasi hizo.

“Tumepata mbegu na tutaiendeleza pamoja kwakushirikiana na wataalamu tunateseka sana katika kipindi cha kiangazi lakini kwasasa kwakupitia haya majani naamini yatatusaidia kupata maziwa yakutosha”, alisema Sanga.

Majani hayo aina ya JUNCAO kutoka Nchini China kitalu chake kipo Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo yanagawiwa kwa Wakulima na wafugaji mbalimbali nchini na yanaendelea kufanyiwa utafiti zaidi kwa mazingira ya Tanzania.
Majani%20ya%20JUNCAO%20kuwa%20suluhisho%20la%20malisho%20ya%20mifugo-3.JPG

Dkt Ligate akionyesha namna ya nyasi za malisho aina ya JUNCAO zilivyo
Majani%20ya%20JUNCAO%20kuwa%20suluhisho%20la%20malisho%20ya%20mifugo-4.JPG


Dkt Ligate akitoa maelezo kwa wakulima na wafugaji namna ya upandaji wa miche ya nyasi hizo
Source : Majani ya JUNCAO kuwa suluhisho la malisho ya mifugo
 
two sides are expected to see more growth potential in sectors such as key infrastructure projects


26 October 2022

Mikataba mpya bilioni 379.3 Kukarabati reli ya kati ya mkoloni CCECC ya China


  • Mchepuko reli ya kati Godegode Dodoma 6 kilometa
  • Mchepuko reli Kaliua hadi Mpanda kilometa 210
  • Madaraja likiwemo la mto Ugalla ktk kipande cha Mpanda -Kaliua
Mkurugenzi mkuu TRC Masanja Kungu Kadogoda aelezea umuhimu wa reli hiyo ya kati ya mkoloni kwa siku za mbele ikiwemo ujenzi wa bandari ziwa Tanganyika, michepuko ya SGR kwenda bandari ya Kalema ziwa Tanganyika n.k

Naye mkurugenzi mtendaji wa CCECC Bw. Zhang Junle kampuni ya kutoka China amesema wanafuraha kuendelea kuaminiwa na TRC kwa zaidi ya miaka 20 kutekeleza kandarasi za ujenzi. https://www.cccme.cn/shop/cccme12595/introduction.aspx
Source : TRC RELI TV

China's CCECC rehabilitates 985 kilometers of Tanzania's Central Railway Line​

Source: Xinhua| 2020-08-14 11:29:30|Editor: huaxia


TANZANIA-CHINA-RAILWAY-REHABILITATION

Photo taken with a drone shows a railway track storage area for Tanzania's Central Railway Line rehabilitation project undertaken by China Civil Engineering Construction Corporation at a project site in Tanzania on April 15, 2019.

Tanzania's Central Railway Line was built over a century ago and has played an important role in connecting its inland provinces and neighboring landlocked countries with sea ports.

China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) is currently rehabilitating 985 kilometers of the railway's existing line and repairing affiliated infrastructure to improve its transportation capacity and strengthen the transportation network with neighboring countries. (CCECC/Handout via Xinhua)
 
KKa
Swafiiii sana!
Hao China watusamehe madeni yetu walahi
Katika mambo ambayo Jamhuri ya uchina inalaumiwa kwa uwekezaji na mikopo katika nchi zilizoendelea ni swala la kuweka mikataba tata ya uwekezaji na baadae kukamata vitega uchumi muhimu kwa nchi husika pale zinaposhindwa kulipa madeni kwa wakati na kwa riba iliyokubaliwa rejea (Kenya na Zambia)
Tusitarajie kusamehewa madeni isipokua influx of Chinese nchini hata kwatika maeneo ambayo wazawa wanaweza kuwekeza na kufanya shughuli za kiuchumi.
Angalia wanavyowaharibu vijana wetu kwa kamari!
 
Back
Top Bottom