Xi Jinping amualika Rais Samia China

Xi Jinping amualika Rais Samia China

Wataalam kuongezwa Daraja la Kigongo – Busisi​



Video: source: courtesy of Wasafi Media

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, ameagiza wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa Daraja la J.P. Magufuli (kigongo - busisi) lenye urefu wa kilometa 3.2 kuhakikisha wanaongeza ushiriki wa wahandisi wazawa katika utekelezaji wake.

Amesema utekelezaji wa mradi huo unaogharimu zaidi ya kiasi cha bilioni 716 ( US$ 265 Milioni) ambazo zote ni fedha za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni haki ya watanzania kujifunza na kusimamia rasilimali hiyo kwa ajili ya vizazi vijavyo. Kampuni mbili kutoka nchini China za China Civil Engineering Construction Group (CCECG) na China Railway 15th Bureau zinashiriki katika mradi huo chini ya usimamizi wa wataalamu wa miradi wa TANROADS.

Prof. Mbarawa ameyasema hayo jijini Mwanza, wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Sengerema mara baada ya kumaliza kukagua daraja hilo ambalo ujenzi wake umefikia zaidi ya asilimia 34.

"Ujenzi wa Daraja hili unaandika historia kwa nchi yetu kwa ukubwa na viwango vya kisasa hivyo liwe shule tosha kwa wahandisi wa ndani ili kuwawezesha kuweza kujenga madaraja kama haya nchini", amesema Prof. Mbarawa.

Aidha, Prof. Mbarawa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kutoa fedha za miradi ya maendeleo kwa wakati na kwa hivyo wakazi wa Mwanza na mikoa jirani wasipate hofu juu ya mradi huo kwani utamalizika kwa wakati na viwango vilivyowekwa.

"Katika kipindi chote mkandarasi yuko hapa analipwa fedha kulingana na kazi zinazoendelea na mradi unatarajiwa kukamilika ifikapo Februari, 2024", amesisitiza Prof. Mbarawa.
Prof. Mbarawa ameongeza kuwa daraja hilo litakapokamilika litakuwa daraja refu kuliko yote Afrika Mashariki na Kati na litakuwa ni la sita (6) katika Bara la Afrika kwa takwimu za sasa.

Awali akitoa taarifa ya mradi wa ujenzi wa Daraja hilo, Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Boniface Mkumbo, amemueleza Waziri huyo kuwa mradi umetoa ajira 720 ambapo kati ya hizo ajira 663 ni za watanzania na 57 ni za wageni.

Mhandisi Mkumbo ameeleza kazi kubwa zilizofanyika hadi sasa ni ujenzi wa daraja wezeshi, nguzo ya kwanza na ya pili kwa upande wa Kigongo umekamilika, ujenzi wa matabaka ya barabara za maingilio kwa pande zote mbili, ujenzi wa karakana ya kukunjia vyuma na ujenzi wa mitambo ya kuchanganya zege na kusaga kokoto zimekamilika.

Akitoa shukrani, Mwakilishi wakazi wa eneo la Kigongo Bw. Ramadhani Nkya, ameishukuru Serikali kwa kulipa fidia zao kwa wakati kwani ujenzi wa Daraja hilo umewasaidia kuboresha makazi yao mapya.

Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) ni moja ya mradi wa kimkakati wa Serikali ya kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwani litakuwa kiungo muhimu kati ya mkoa wa Mwanza na mikoa mingine ya Kanda ya Ziwa lakini pia na nchi jirani za Rwanda, Burundi na Uganda.
Source : MWT | Habari


The government of Tanzania has signed a $265m contract with two Chinese contractors for the construction of a 3.2km-long bridge on Lake Victoria.​

China Civil Engineering Construction Group (CCECG) and the China Railway 15th Bureau will build a link over the Gulf of Mwanza, a 30km-long inlet in the southern shore of the lake between the settlements of Kigongo and Busisi.

The aim is to replace the Mwanza ferry and improve communications between the commercial hub of Mwanza City in northern Tanzania and the lake states of Uganda, Burundi and Rwanda. At present, the ferry crossing takes three hours, including a two-hour queue to board.

Construction will be fully funded by the Tanzanian state and is expected to create more than 1,000 jobs. As well as the bridge, the project involves the construction of a 34km road to Mwanza. Source : Tanzania picks Chinese contractors to build 3.2km bridge on Lake Victoria - Global Construction Review
 
KKa

Katika mambo ambayo Jamhuri ya uchina inalaumiwa kwa uwekezaji na mikopo katika nchi zilizoendelea ni swala la kuweka mikataba tata ya uwekezaji na baadae kukamata vitega uchumi muhimu kwa nchi husika pale zinaposhindwa kulipa madeni kwa wakati na kwa riba iliyokubaliwa rejea (Kenya na Zambia)
Tusitarajie kusamehewa madeni isipokua influx of Chinese nchini hata kwatika maeneo ambayo wazawa wanaweza kuwekeza na kufanya shughuli za kiuchumi.
Angalia wanavyowaharibu vijana wetu kwa kamari!

Wapiga ramli mkosekane
 
Kwa jinsi Wachina walivyo, huenda Madam President naye akatunukiwa Udaktari wa Heshima endapo atakubaliana na masharti ya ujenzi wa Bagamoyo na mikataba mingine ya kinyonyaji. JK alikula shavu la Uprofesa kwa mikataba ya namna hiyo.


Hakuna Taifa lililoendelea kwa kujifungia ndani ya mipaka yake kwa wakati kama huu China na Tanzania tunahitajiana sana, Uzuri wa Rais Samia anafahamu Tanzania ni Taifa kubwa kwa kimipaka uwezo anaotaka kukenga kuwa na uchumi wenye nguvu zaidi Afrika na afrika mashariki.
 
02 November 2022
Beijing, China

Tanzania eyes further boost in ties with China​



Tanzanian President Samia Suluhu Hassan is visiting China from November 2 to 4. Tanzanian Ambassador to China Mbelwa Kairuki says the state visit is significant, as it will result in greater trade cooperation between the two sides, especially in infrastructure, food and trade in services.
Source : CGTN
 
02 November 2022

President Hassan's China visit to unlock regional economic potential

Samiabeijing.tt_

Tanzanian President Samia Suluhu Hassan arrives at Peking International Airport in Beijing, China on November 2, 2022 for a State visit. (Photo: Ikulu Tanzania)


Tanzanian President Samia Suluhu Hassan will pay a state visit to China on November 2-4 upon the invitation of Chinese President Xi Jinping.

The visit marks the first by an African leader after the 20th National Congress of the Communist Party of China, indicating China's strong attachment to Africa.

It's also Hassan's maiden visit to the country since she became President in March 2021.

China and Tanzania share a long history of cordial relations. It's one of the earliest beneficiaries of China's aid to the African continent, as seen through the construction of the TAZARA railway linking the port of Dares Salaam in eastern Tanzania with the town, Kapiri Mposhi, Zambia.

Video courtesy of CCTV / Amura Heena

Tanzania's ties with China have expanded under the Belt and Road Initiative with many development projects completed. The relations have evolved beyond official government levels to encompass people-to-people exchanges with the term "rafiki" (friendship) defining them.

Hassan's visit comes at a crucial time for Tanzania and Africa at large. Tanzania is grappling with economic challenges due to the triple impact of the COVID-19 pandemic, climate change and ongoing war in Ukraine.

As a strong development partner for Tanzania, her visit has raised expectations. Just two days prior to the visit, Hassan revealed that Tanzania's population has grown by 16 million in 10 years to hit 61.7 million in 2022. The rising number of young people in the country offers more economic opportunities for international partnerships.

Tanzania is home to 1,098 Chinese projects valued at $9.6 billion, which have created over 300,000 jobs for the locals, according to Tanzania's Ambassador to China Mberwa Kairuki. With China experiencing industrial overcapacity at home, according to Xinhua, President Hassan can negotiate additional relocation of Chinese industrial enterprises to ensure greater wealth for the country, as well as more jobs for the country.

Agricultural exchange is another key issue for Hassan to pursue in China. Against the backdrop of biting food insecurity in the region, boosting food production and processing isn't just an issue for Tanzania but also for its neighboring Horn of Africa countries. The long-standing agriculture cooperation can anchor higher yielding crop varieties to help feed Africa and beyond.

Increasing agricultural productivity can boost Tanzanian agricultural exports to the Chinese market under the "green lanes" program launched during the 2021 Forum on China-Africa Cooperation (FOCAC) meeting in Senegal. China has welcomed African agricultural products, such as Kenya's avocados, Rwandese chilli and Ethiopian coffee, into its market — the world's second-largest consumer market.

Infrastructure modernization offers Tanzanians hope to see more Chinese investments inflows. Plans to develop the Bagamoyo Port are gaining steam. There is much interest among Chinese investors to develop special economic zones to anchor technology transfers and industrialization around the port. Hassan's China visit creates an opportunity for the two countries to discuss potential partnerships over the port's development along with other infrastructure projects.

With strong intercultural amity defining current bilateral relations, Tanzania can tap into the burgeoning number of Chinese tourists with interests in Africa. Many young Tanzanians, who have learned the Chinese language, can become more effective links both at the government and private sector levels.

China and Africa are consolidating the development gains since the founding of FOCAC in 2000. During the 20th CPC National Congress, President Xi Jinping pledged for China to integrate further into the world economy. President Hassan's visit presents Africa with a chance to develop new cooperative arrangements to deliver mutually beneficial outcomes for China and the continent.

Meanwhile, President Hassan has favored international collaborations to promote development of her country. Accordingly, China has revealed to the world, quality and people-centered leadership is an irreplaceable panacea in the socioeconomic transformation.

Through the China-supported Mwalimu Julius Nyerere Leadership School in Tanzania, African countries can learn from the development and governance experiences of China over how to weave a cohesive, united, peaceful and prosperous society.
Source : https://news.cgtn.com/news/2022-11-...nal-economic-potential-1eD79ZBi8ZW/index.html
 
Back
Top Bottom