X wangu anataka turudiane

Hupendwi!
Anaomba kama vile aliiweka.
Kuna wadada kwasababu ya tabia zao za kuomba omba hela wanaume, mara nyingi wapo single, hawana mahusiano yanayoeleweka, wanasingizia jini mahaba, kulogwa, wanaume waongo, kumbe character zao mbovu..mara nyingi financial request wanazoomba hao wadada, hata mwanaume akisikiliza anaona hazina umuhimu na anahisi anapigwa.

Mwanaume anaejielewa akipiga hesabu anaona anapata hasara tu kwenye hayo mahusiano, effort anayoweka ni kubwa kuliko anachopata, hivyo anaishia kukimbia, mdada anajikuta anakimbiwa na kila mwanaume kisa kupiga vizinga.

Hio nahisi ndo sababu ex wa mtoa mada karudi kwa mtoa mada, theory yangu ni kwamba wanaume waliojaribu ku-date na ex wa mtoa mada waliona huyo mdada ni hasara kwenye mahusiano, sababu ya vizinga wakaamua kukimbia, bidada akaamua arudi kwa melancholic.. ephen_ Melancholic
 
Na kwanini arudi kwangu
 
Tatizo wewe bado unampenda ndo maana umeshindwa kuachana naye jumla.
Sasa ametumika huko kwingine amechoka ameamua kurudisha majeshi kwa chaka lake zamani ambaye ni wewe
 
A girl's worst nightmare is seeing a man she left for another become better, richer and fitter, then date a more beautiful and feminine woman than her.
 
Kwa nilichokiona jana kwenye uzi wa selfika, samahani sana ndugu yangu mimi nipo upande wa Chica Gee usinijaji hata wewe ungeona nilichokiona najua ungenikana mchana kweupe.😅😅
 
Huko alipoenda ameshindwa kuvumiliwa kaona arudi kwako maana wewe unamvumilia na kumpa pesa kirahisi. Kwa kifupi kaona wewe ndio bwege wake kwani chochote anachotaka kwako kwa lazima anakuamrisha umpatie na wewe bila hiyana unafanya hivyo
 
Me mkuu demu kama wa Melancholic unaweza sema hafai kurudiwa

Ila Kuna maex wengine unaona kabisa huyu ni mtu aliye smart na hata kuachana kwenu inaweza ikawa ni kununiana tu kwanini nisimrudie
Sasa mkuu mtu yupo smart utaachanaje kisa kununa?
Au neno smart unamaanisha kwenye nguo na mwili sio akili?
Mtu yuko smart mtaachanaje? Au yeye anakuacha wewe ndo unakuwa hauko smart hauendani nae sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…