X-Girl friend kaniomba nimsindikize

X-Girl friend kaniomba nimsindikize

hahahaaaaa!!! eti niende au nisiende!!.... mi ntaleta uzi.. '' JAMANI, NIKO SERENA NA miss neddy, JE NIRUDI NYUMBANI AU NISIRUDI....?? hahahaaaa!!! mwallu goodmorning!

nakuona....

Labda kama sio wewe Excel ninayekujua?!!Sana sana utatuuliza hivi "Kwa hizi tarehe je tutapata baby girl au baby boy?!Hahaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Excel come this way umepata hzo picha za mnato from Food engineering ??

uuupsi mwanaume unapenda kuhongwa nyoooo...
acha ushamba eti yeye ndo alikutongoza soo ni vibaya binti kukeleza hisia zake??mbona unamtaka na kulia huku ufanyeje??

she get a new boyfriend anayejua dhamani yake anataka kwenda kukutambulisha

dogo kazingua bana!! picha nimezisubiri kwa uchu sana nione walivyokuwa wanabanjuana nithibitishe..! kazingua, hajatuma mpaka sasa...!!!

but ALL IS WELL.. I AM HAPPY WITH MYSELF!

Last edited by a moderator:
Kuwa makini, anakutega huyo asije akakuletea kale kaugonjwa ka hatari
 
Nyie vijana wakileo kweli akili zenu legelege sana, hivi hilo lakualika watu wakupe ushauri hapa?

Ndiomaana alikubwaga kwakuwa huna akili hata yakujitawala tu zaidi ya kuweza kutenganisha mboga na ugali na kuweza kuvukia barabara tu.
Umeadimika! kumbe upo huku?
 
Nilitegema ushauri mzuri,lakini yaliyonikuta cjui tu
 
Nyie vijana wakileo kweli akili zenu legelege sana, hivi hilo lakualika watu wakupe ushauri hapa?

Ndiomaana alikubwaga kwakuwa huna akili hata yakujitawala tu zaidi ya kuweza kutenganisha mboga na ugali na kuweza kuvukia barabara tu.
yani mkuu, bora umemueleza kwa busara tosha..umeniokolea ban ya bure hapa, maana nilitaka kulitusi hili jitu lenye ubongo mwepesi ka kende
 
Hi, guys nilikuwa na mpenzi wangu anaitwa janeth,kwa mda mrefu 2likuwa wapenzi kwani 2lianza toka 2009 hadi 2012 tulipotengana,kikubwa kwa mpenzi wangu huyo wa zamani kwanza yeye ndo alinitongoza nikamkubalia alinipenda sana ,alinipa fedha sana,nilianza kumpenda pia,Lakini 2liachana with no reason nilimuomba turudiane alikataa,cha kushangaza baada ya mda mrefu kutokuwasiliana jana kanipigia simu anataka nimsindikize sehemu....JE NIFANYEJE??je,nikamweleze hisia zangu kwake na kuwa ninataka iwe kama zamani??ushauri please.

Usimsindikize!!!!!
 
yeleuwiiii! kumbe wewe ni mkurya! usinisalimie wala kuni-quote tena!
:rip::rip::rip:
usijali.. baba bhoke yupo kwa ajili yako! lols!

mpaka sasa niko inbox gmail nasubiri hizo picha...!!
Food engineer nakungoja... yani mkuu sijaona file hata moja mpaka sasa..!!

nina uchu sana na hizo picha!
 
yeleuwiiii! kumbe wewe ni mkurya! usinisalimie wala kuni-quote tena!
:rip::rip::rip:

hahahaaaa!! cha kuogopa nini tena king'asti!

kwanza imagine, how lucky you are, today is the most specialest day to you from me!!

should i give you a gift i've prepared?
 
Nyie vijana wakileo kweli akili zenu legelege sana, hivi hilo lakualika watu wakupe ushauri hapa?

Ndiomaana alikubwaga kwakuwa huna akili hata yakujitawala tu zaidi ya kuweza kutenganisha mboga na ugali na kuweza kuvukia barabara tu.

Hahahahahah kweli jf ni stres free.
 
hahaha. kwanza tukubaliane hapa kwenye mahusiano yao, boiflendi ni yupi? mdada mhongaji ama mkaka mhongwaji aliechinjiwa baharini bila maelezo?
Nani kaachwa na boiflendi hapa....
 
  • Thanks
Reactions: RR
staki gift yako! kwanza huko kwenu ukimuambia mke unampenda ni kwa kipigo. mie sijawahi kupigwa wala kugombezwa na babangu Mtambuzi, ukinipiga ntakufa bure. staki bwana, usini-quote tenaaa!:tape::tape::tape:
hahahaaaa!! cha kuogopa nini tena king'asti!

kwanza imagine, how lucky you are, today is the most specialest day to you from me!!

should i give you a gift i've prepared?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom