kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
huyu anaonyesha hana hiyo akili.....!Wewe unayo akili ya kujitawala?
huyu anaonyesha hana hiyo akili.....!Wewe unayo akili ya kujitawala?
Hi, guys nilikuwa na mpenzi wangu anaitwa janeth,kwa mda mrefu 2likuwa wapenzi kwani 2lianza toka 2009 hadi 2012 tulipotengana,kikubwa kwa mpenzi wangu huyo wa zamani kwanza yeye ndo alinitongoza nikamkubalia alinipenda sana ,alinipa fedha sana,nilianza kumpenda pia,Lakini 2liachana with no reason nilimuomba turudiane alikataa,cha kushangaza baada ya mda mrefu kutokuwasiliana jana kanipigia simu anataka nimsindikize sehemu....JE NIFANYEJE??je,nikamweleze hisia zangu kwake na kuwa ninataka iwe kama zamani??ushauri please.

Duuu mie mzee? Acha kuninyima raha ndugu, mie kijana mwenzio kabisa
hahahaaaaa!!! eti niende au nisiende!!.... mi ntaleta uzi.. '' JAMANI, NIKO SERENA NA miss neddy, JE NIRUDI NYUMBANI AU NISIRUDI....?? hahahaaaa!!! mwallu goodmorning!itafikia mahali Excel ukialikwa na miss neddy au shemejio Ntuzu kwa dinner unaleta thread ''shemeji na mpenzi wangu wamenialika dinner,je ni halali kwenda?,niende nisiende?''
long live jf
nakuona....
Mkuu Excel habari yenyewe hata sikuielewa kabisa,sasa kama kweli Food engineer anashindwa kuandika kitu kikaeleweka basi nadhani na siku hizi kuna GPA 10!
Dah, too low for higher learning student. Huwezi post kitu cha kitoto hivi mkuu.
Sasa hapo chuo unafanya nini?
excel we kiboko.....umeshtukia dogo na vistory vya kubuniwewe food engineer ni kijana muongo sana! Kumbuka jf sio sehemu ya kuleta habari za uongo uongo!!!!
Majuzi hapa umeleta habari za wanafunzi kufumaniwa na lecturer, nimefanya research mpaka sua nimegundua ni uongo!!!
Kijana kabla hatujafika mbali, tafadhali futa kwanza ile kauli, ama, toa maelezo yenye uhakika!!!
Habari kama ile ni nyeti, sina imani na wewe food engineer...
Hehehe, kwa udaku sikuwezi! Utanisimulia pm mwaya ila usinitumie usijeniharibia kwarazma yangu
hahahaaaaa!!! eti niende au nisiende!!.... mi ntaleta uzi.. '' JAMANI, NIKO SERENA NA miss neddy, JE NIRUDI NYUMBANI AU NISIRUDI....?? hahahaaaa!!! mwallu goodmorning!
nakuona....
wewe ni janga la kitaifa!!mbona wanafunzi wa SUA huwa hawapo hivi????Hi, guys nilikuwa na mpenzi wangu anaitwa janeth,kwa mda mrefu 2likuwa wapenzi kwani 2lianza toka 2009 hadi 2012 tulipotengana,kikubwa kwa mpenzi wangu huyo wa zamani kwanza yeye ndo alinitongoza nikamkubalia alinipenda sana ,alinipa fedha sana,nilianza kumpenda pia,Lakini 2liachana with no reason nilimuomba turudiane alikataa,cha kushangaza baada ya mda mrefu kutokuwasiliana jana kanipigia simu anataka nimsindikize sehemu....JE NIFANYEJE??je,nikamweleze hisia zangu kwake na kuwa ninataka iwe kama zamani??ushauri please.