LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,222
Nyie vijana wakileo kweli akili zenu legelege sana, hivi hilo lakualika watu wakupe ushauri hapa?
Ndiomaana alikubwaga kwakuwa huna akili hata yakujitawala tu zaidi ya kuweza kutenganisha mboga na ugali na kuweza kuvukia barabara tu.
mkuuu tano za mikono yote miwili .
natumia sim kidude cha like hakuna bana. ningekubofyea.
MKUU #invisible tufikirie na ss wana wa sim hicho kidubwana cha like