Biera
JF-Expert Member
- Dec 7, 2010
- 464
- 78
Wakuu,imekuwa ni kawaida kwa wanaume 2napopigiwa cmu na namba ambayo imekosea(wrong no) inapokuwa sauti ya kike...2natongoza hapo hapo na kupanga hata kuonana..wengine wanapenda sauti na wakibahatika kuonana hawataki tena kuwaona(wasichana hao),je ni ulimbuken na tamaa ya ngono au ni kutaka kufahamiana?