Wrong number!

Biera

JF-Expert Member
Dec 7, 2010
464
78
Wakuu,imekuwa ni kawaida kwa wanaume 2napopigiwa cmu na namba ambayo imekosea(wrong no) inapokuwa sauti ya kike...2natongoza hapo hapo na kupanga hata kuonana..wengine wanapenda sauti na wakibahatika kuonana hawataki tena kuwaona(wasichana hao),je ni ulimbuken na tamaa ya ngono au ni kutaka kufahamiana?
 
Biera.... THANK YOU for making my day.... lolz.... (ngoja kaka zetu waje wajimwae hapa...)
 
Ni kweli kabisa.. mie nimeshakutana na hali kama hiyo mara kadhaa...
 
Hiyo ni kawaida sana kwa boys wanaopenda na walogeuza kudate kama sifa hasa kwa wale wanaoibukia ndo hugeuza kama shibe na ni wepes sana kuwaomba akina dada namba zao haijalishi kufahamiana. Hii inatokana na hulka binafsi za mhusika na ulimbuken kwan wengi huona kudate wa waschana wengi kwao ni ufahari bila kujua ni sifa za kijinga. Note: si wote wana tabia hizo pia jiulize ni wanaume wangapi hukutana na wrong number na wanazipotezea?
 
Acha kuchafua wanaume wote.
Mpo wachache mlioshindikana.
OTIS.
 
Kweli tena mpo tayari kuwafata popote walipo. Wanaume mnadanganyika vibaya.
 
huu sio ulimbukeni....
men are hunters inaeleweka hiyo

sasa wrong number inapoingia ni sawa na swala kakosea njia kaingia maeneo ya chui...lazima

huyo swala akaguliwe kuona afya yake vipi?analika?

its all about curiosity....hivi ikitokea wrong number imesababisha ukaja kutoa posa je?tutaitaje hiyo???
 
Unakuta missed call.
Unaamua kumpigia.
Then unasikia sauti ya kike upande wa pili ikikuuliza ww ni nani?
Unamjibu: nimekuta missed call yako ndo maana nimeamua kukupigia.
Anakuambia: mi sikumbuki kukupigia na wala simjuwi ni nani aliyekupigia.
Unamuambia: basi kama vipi, ww ipotezee tu hii namba.

Si ndiyo yaishe, basi unamkuta dada haridhi anataka umuambie ww ni na uko wapi. Thats why wrong namba nazisave for a while ili ikitokea kunipia tena, namuambia ww si ulikosea namba, inakuaje unajidai umekosea mara ya pili?
Wengine tupo kama hivi.
 
So mkuu una maana wadada wengine wanakuwa wanayo no yako bt wanatafuta jinsi ya kukuingia?
 
huu sio ulimbukeni....
men are hunters inaeleweka hiyo

sasa wrong number inapoingia ni sawa na swala kakosea njia kaingia maeneo ya chui...lazima

huyo swala akaguliwe kuona afya yake vipi?analika?

its all about curiosity....hivi ikitokea wrong number imesababisha ukaja kutoa posa je?tutaitaje hiyo???

Mkuu,una maana Nyumbu anapoingia kwenye mto wenye Mamba wengi lazima atafunike! Aha aha
 
Kweli,wanapokosea unapaswa kumhoj,tena si vizuri kumtajia jina lako,lakin mimi nasema kuwa hakuna HAJA ya kuendelea kumpigia
 
Biera sijui unaishi wapi,lakini kwa hapa Dar wewe kama ni mtu maarufu au una kau pedesheee basi kupigiwa na wanawake ambao huwafahamu ni jambo la kawaida kabisa.Kwa taarifa yako hapa dar lipo genge la wanawake kwenye note book zao wana namba za watu maarufu wote wa mjii huu na wanabadilishana namba hizi.Utawakuta wamekaa breakpoint,rose garden ,mamas etc na ana pick a number na kupiga,ukipokea anakwambia samahani kaka we ni Bishanga?sauti nyororo ni hatari,'naomba nikuone nina shida' ukikubali ukampa miadi ,mtoto atatinga na RAV4,nguo za kwa mariedo,chain za gold we acha tu,yaani huwezi kumdhania kuwa yuko dukani,mengine kazi kwako.Haya mambo hapa mjini ni ya kawaida kabisa,tushayazoea.
 
Wrong namba zingine wadada ndio wanazitengeneza,
Siku flani alinipigia mdada mmoja na kuanza kuniambia ashafika Dar akitokea Arusha,
Kumuuliza vizuri yeye ni nani, akadai wrong numbe hivyo nikaamua kuipotezea.
Then ye ndio akaanza kunitafuta sasa.
Kuja kuchunguza kumbe alipewaga issue na ndugu yangu mmoja hivi kua nimemtema girlfr wangu so akawa anataka ajiweke yeye kupitia mtego wa wrong number!!
 
Usipuuzie wrong no,uwez jua muumba kakupangia nini,anaweza kuja kua mamisapo wako.fatilia kwa umakini,usisite kuondoa dukuduku lako kama sauti imekuvutia.tujenge tabia ya kuwauliza maswali na kuwaweka karibu.
 
huu sio ulimbukeni....
men are hunters inaeleweka hiyo

sasa wrong number inapoingia ni sawa na swala kakosea njia kaingia maeneo ya chui...lazima

huyo swala akaguliwe kuona afya yake vipi?analika?

its all about curiosity....hivi ikitokea wrong number imesababisha ukaja kutoa posa je?tutaitaje hiyo???
This is great bro..nimeipenda hii line "men are hunters"
 
Usipuuzie wrong no,uwez jua muumba kakupangia nini,anaweza kuja kua mamisapo wako.fatilia kwa umakini,usisite kuondoa dukuduku lako kama sauti imekuvutia.tujenge tabia ya kuwauliza maswali na kuwaweka karibu.

Unaweza kudhani umepata mke kumbe umepatikana na ndo maisha yake kusaka wanaume kwa mtego wa wrong no!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom