Masomo Matatu Ambayo Wanawake Huwa Hawajifunzi

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,479
21,953
1. Wanawake wengi wanafikiri wanaweza kumshawishi mwanaume yeyote kupitia ngono.

Bila shaka, wanaume wa kawaida wanapenda ngono. Lakini kupenda ngono na kumpenda mtu wa kufanya naye ngono ni vitu viwili tofauti. Mwanaume anaweza kulala na mwanamke na kumtelekeza mazima dakika tano tu baadaye.

2. Wanawake wengi hawajifunzi kuwa kuishi peke yake ni bora kuliko kuishi na mwanaume mbaya.

Hapo tamaa ya kuwa mali ya mwanaume huwafanya wanawake wengi kuhatarisha ubora wa maisha yao ya baadae.

3. Wanawake wengi wanafikiri wanaweza kumbadilisha mwanaume.

Hivyo huongeza bidii kumvumilia mwanaume asiye na maadili au kukaa katika uhusiano wa sumu wakitumaini kwamba mwanaume huyo atabadilika siku moja.

Ukweli ni kwamba mwanaume hawezi kubadilishwa na mwanamke

Wanawake msije sema sijawaambia.
 
Punguza stress
 
Back
Top Bottom