Mnyongeni Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 628
- 731
- Thread starter
- #81
Mkuu hajaliwa ye anasema hajawah na ni mwak wa tatu huu kajitunza
All the best mtoa post,
Kitu ukipost jf inanibidi ushauri utakaopewa kufikiria sana mana kuna watu wanafikiria negative tuu, ucje ukakata tamaa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Akirudi tu mpeleke kwa Bashite akakaguliwe...
Mkuu,ndo wewe hapo kwenye avatar?Wazee nlimmisi demu wangu akija tuu ndoa alikuwa arabuni kama msaidizi wanyumbani raha iliyoje kurudi nyumbani.
Akitua tuu ndoa sichelewi msio na madem walioenda nje post yenu inakuja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kujua kama hakuwa salama, muulize uko tayari kurudi Arabuni?
Lini umepanga kurudi huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu huyu Chris Mauki mentor mmoja hatari kwenye ushauri katendwa au??? Wanawake mda mwingne hawana huruma ila wangu atakuwa na huruma hajacheatHii ulichofanya, kama kweli una mchumba, kitakukost [emoji23][emoji23][emoji23]
Yatakukuta kama yaliyomkuta Chris Mauki huko Insta baada ya kutangaza kurejea kwa mkewe toka safari nje ya nchi.
Huyu huyu Chris Mauki mentor mmoja hatari kwenye ushauri katendwa au??? Wanawake mda mwingne hawana huruma ila wangu atakuwa na huruma hajacheat
Sent using Jamii Forums mobile app
Na tigo itakuwa imechakaa sanaaa.....
Bila shaka demu wako atakua mrangi maana manzi wa kabila hili ndio wanapenda sana kwenda kuwa mabeki 3 huko middle east
Kagua vzr ndogo yake Arabuni wanaita sunna tu
Sent from my iPhone using JamiiForums