BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Kabadili ID na avatar au umempiga marufuku kuingia humu?
Avatar ya mke wangu shansarie...
Avatar ya mke wangu shansarie...
Ni kweli we culture gal au unatania?? Ngoja nkupm ufanye yako nijue mbivu na mbichi kabisaaa maana nisijepata tabu ahsante kwa ushirikiano utanipa majibu rejea basiAkirudi na yeye atajifanya muaraabu atataka kuolewa na muarabu koko wa k.koo....
wewe tafuta tu mwingine huyo si wako tena kama huamini nitumie namba yake nimdadisi kama kweli anataka kuolewa na wewe.
Atakuwa kamtengenezea fekero account amuone anavoweweseka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabadili ID na avatar au umempiga marufuku kuingia humu?
Aaah we tangaza ndoa tule ubwabwa maana nimeona full shangwe
Wakati umegoma kunishauri bwashee sio sawahiyooAaah we tangaza ndoa tule ubwabwa maana nimeona full shangwe
Hapana Staki kuwa chanzo cha kukatisha ndoto yako
Lol, usijali.... fanya mchakato nitakupa majibu.Ni kweli we culture gal au unatania?? Ngoja nkupm ufanye yako nijue mbivu na mbichi kabisaaa maana nisijepata tabu ahsante kwa ushirikiano utanipa majibu rejea basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol, usijali.... fanya mchakato nitakupa majibu.
Hapana Staki kuwa chanzo cha kukatisha ndoto yako
Endelea kuiota tu ufanikiwe, mi ubwabwa tu ndo nitahusikaMkuu mpaka hapa ushaingia kwenye ndoto zangu sasa tushikane mkono twende pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeh nakutakia mema ndugu yangu Mtanzania ndio maana nipo bega kwa bega na wewe, hata kipimo cha 0714 najitolea mimi kumpima.[emoji4][emoji55]
Endelea kuiota tu ufanikiwe, mi ubwabwa tu ndo nitahusika
Sasa mkuu mbona umefika mbali kwel kutakuwa na usalama atakapokuwa anapimwa kwa maslah mapana ya kwake hilo niachie mmUmeona eeh nakutakia mema ndugu yangu Mtanzania ndio maana nipo bega kwa bega na wewe, hata kipimo cha 0714 najitolea mimi kumpima.[emoji4][emoji55]
Niletee tu mkuu, nipo hapa Tarime mjini
Mimi ni mtaalamu lakini pia ni mwanamke mwenzie hatoniogopa... wewe unajua vipimo??Sasa mkuu mbona umefika mbali kwel kutakuwa na usalama atakapokuwa anapimwa kwa maslah mapana ya kwake hilo niachie mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mtaalamu lakini pia ni mwanamke mwenzie hatoniogopa... wewe unajua vipimo??
Ahsante Mkuu najivunia kajitunza huko alipo niaminivyo mimiHongera sana.