Woyooo Demu wangu anarudi

Woyooo Demu wangu anarudi

Huyu ndo wewe mkuu
6bbc4f9daf5f253afbe1576ad5b0f056.jpg


Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Watu wakienda njee hata ni hapo kenya tu wao basi wamebadilika so muangalie anakutaka bado ila usikimbilie eti namuoa namuoa kumbe akija anamawazo mengine ikute anakuja huku kutolewa posa ili akaendelee na maisha yake.
Chochote hutokea kama msela kamuacha binti mbichi huku kaenda kusoma demu kusikia msela anakuja alifurahi kwenda kwa msela anakuta nyumbani kwa msela kuna watoto mapacha machotara.
Naalikata washikaji kibao kisa mtu wake yupo huko.
Eti Usa not usa river UNITED STATET OF AMERICA.
😂🤣🤣🤣🤣
 
Watu wakienda njee hata ni hapo kenya tu wao basi wamebadilika so muangalie anakutaka bado ila usikimbilie eti namuoa namuoa kumbe akija anamawazo mengine ikute anakuja huku kutolewa posa ili akaendelee na maisha yake.
Chochote hutokea kama msela kamuacha binti mbichi huku kaenda kusoma demu kusikia msela anakuna alifurahi kwenda kamsela anarudi na watoto mapacha machotara.
Naalikata washikaji kibao kisa mtu wake yupo huko.
Eti Usa not usa river UNITED STATEF OF AMERICA.
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inahitaji mtu atulize akili sana kukuelewa na sie wengine macho yameshaanza kufa basi lenzi mbinuko inatuhusu ili tu kuyasoma maandishi yako na kuyaelewa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wakienda njee hata ni hapo kenya tu wao basi wamebadilika so muangalie anakutaka bado ila usikimbilie eti namuoa namuoa kumbe akija anamawazo mengine ikute anakuja huku kutolewa posa ili akaendelee na maisha yake.
Chochote hutokea kama msela kamuacha binti mbichi huku kaenda kusoma demu kusikia msela anakuna alifurahi kwenda kamsela anarudi na watoto mapacha machotara.
Naalikata washikaji kibao kisa mtu wake yupo huko.
Eti Usa not usa river UNITED STATEF OF AMERICA.
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo za kuku unazo ww ambae hukuelewa kilichoandikwa ukiona kitu hukielewi ujue hakikuhusu ni kama ungekuta nmeandika kiyunani najua ungepita kimya kimya.sasa hili la kiswahili umechukia kuulizwa swali.
wabongo na bongo za kuku buana inamaana kama ww unaitwa mnyonge unataka kuniamnbia upo peke yako dunia nzima, asee unasikitisha sana.. Ila me mm ni kaka yako heshima ifuate mkondo[emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom