Woyooo Demu wangu anarudi

Woyooo Demu wangu anarudi

Tulia mkuu mbona hupendi tujamiiane(socialize) na wenzangu unaeza kuta kuna mwingne anae atarudi anaweza gain kitu hapa
Ha ha ha hakutendwa na mke..
Alitendwa na wanajamii.
Walimlenga yeye na mkewe na kuwavujishia mafaili yao confidential.
Kiufupi mahusiano halisi si vema kuyatangaza tangaza.
Sijaona ulazima wa huu uzi isipokuwa tu kale "kaugonjwa" ka kutamani kushare maisha binafsi kwenye social media

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada heshima yako mkuu....2007 kua form six unastahili shikamoo kutoka kwangu maana mie mda uo nilikua std 5...kingine samahani kwa hili" kwa upande wangu naona umekosea kumuita mtarajiwa wako DEMU in short mi uwa nahisigi tofauti nikimuona MTU mwenye akili zake timamu kumuita mwanamke demu..yani uwa najiskia vby mwanamke kuitwa demu....nisamehe bure kama in ntakukwanza kwa namna moja au nyingine
 
Hata kama sio mtarajiwa mkuu huwezi kumuita mwanamke Demu. Demu kwenye kamusi ya kiswahili ni kitamaa chakavyu
 
Mkuu marahaba najua ni vibaya kutumia jina hilo ila nmelitumia tuu kuongeza attention nsamehe mimi pia nakuahidi sitorudia tenaa

Back
Top Bottom