vicdala55
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,009
- 1,638
Kweli kabisa Mkuu. Yaani TataMadiba kapita mule mule
Mtu anetegemea wageni kuendesha uchumi wake ni mjinga maradufu! Angalieni mfano wa kwenye madini, mmepata nini? Mnaendelea kupata nini?
Kweli kabisa Mkuu. Yaani TataMadiba kapita mule mule
Ni kutokana na uteuzi wa Dr. Harrison Mwakyembe na Prof. Sospeter Muhongo kwenye baraza lake la mawaziri.
Sakata la ESCROW liliwaweka karibu sana Mengi wote waliokuwa wakipigana usiku na mchana kuhakikisha Prof. Muhongo anajiuzulu kufuatia sakata hili. Kwa sababu ya Prof. Kuminya mianya ya watu kutaka kuwa madalali wa kuwekeza kwenye gesi, Reginald Mengi akiwa mmoja wao, nguvu nyingi zilitumika kuhakikisha Mzalendo huyu na mtetezi wa Wanyonge anaenguliwa, Pesa ni kila kitu, Prof hakuona sababu ya kushindana na kwa kuzingatia msemo, "MWENYE NGUVU MPISHE" aliamua kukaa pembeni.
Mwakyembe naye hatasahau uchaguzi wa Mwaka huu. Kati ya majimbo ya CCM yalikuwa magumu mwaka huu , basi ni jimbo la Kyela. Nguvu ya pesa ni mbaya sana. Mwakyembe alitumiwa kila aina majeshi kuhakikisha kwake siasa inaishia hapo. Mungu siyo Athumani , Kapenya. Kwa mujibu wa mtonyaji wangu, kati ya Majimbo ambayo Lowassa alikuwa tayari kutumia pesa yake yote ila wabaya wake wang'oke ni pamoja na Jimbo la Kyema. Lingine ni jimbo la Mtama.
Mwakyembe ndiye aliyeongoza Kamati ya Bunge la tisa kuchunguza Kampuni tata ya kufua umeme wa Dharura ya Richmond. Ripoti ya Kamati hii ndiyo iliyomng'oa LOWASSA kutoka kwenye uwasiri mkuu.
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye ndiye aliyeibua ufisadi katika ujenzi wa JENGO la Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) lililoko makutano ya barabara za Morogoro na Lumumba.
Matukio ambayo kipindi cha kampeni yalihusishwa na vita ya LOWASSA na hawa wabaya wake wawili ni matukio mawili katika jimbo la Mtama, moja likiwa ni ajali ambayo NAPE aliipata kweupeee kama ile ya Mch. Mtikila na lingine ni Nape kusingiziwa kujihusisha na rushwa wakati wa Kampeni.
Wakati hayo akitokea huko jimboni Mtama, Jimboni Kyela, Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA ambaye ndiye aliyeandika Makala zaidi ya 70 kupitia zageti lake la MWANAHALISI kuwa LOWASSA ni FISADI alitumwa kwenda kumshambulia Mwakyembe. KUBENEA alishinikizwa na Chama chake kwenda kumshambulia Mwakyembe kwa vile kati ya Maadui wakubwa wa LOWASSA kwenye ulingo wa siasa, yeye alikuwa wa pili baada ya Mwakyembe.
TAHADHARI: Kwa uteuzi huu wa MUHONGO, MWAKYEMBE NA NAPE. Ni lazima Rais Magufuli afanye kazi na akina Mengi na Lowassa kwa tahadhari kubwa sana. Watamchekea kwa kumuonesha Magego yao, lakini mioyo yao haitakaa imchekee kamwe.
Wote tunaoponda Uteuzi wa Muhongo, Mwakyembe na Nape tuko nyuma tu ya akina Lowassa na Mengi. Tunafuata tu Mkumbo. Kosa la hawa ni nini? Hawana dhambi yoyote zaidi ya kuchukiwa na hao kwa sababu tu ya ukwasi wao fedha. Wanyonge wote hawa ndiyo wa kufanya nao kazi , tuwakumbatia ili wamsaidie rais wetu kufikia matamanio yetu.
Kwani chadema ndo kuna Corrupt,s washer?

Kama hujui hata hao wageni pia ni MADALALI,kwanini basi MZAWA anyimwe kuwa dalali?Je ni wivu tu au kuna shida nyingine??Tusiweke mawazo yetu kwa wageni tu,hata sisi tunaweza,cha msingi kuwa wamoja.
Kwanu mimi ni bora mara elfu akawekeza RAIA wa TANZANIA kuliko mgeni.Tunachekwa huko nje.Tuamke sasa,chuki hizi za ukanda na itikadi hazitusaidii.Sisi sote ni watanzania na tunahaki sawa sawa ya kumiliki maliasili zetu.
kijana unapaswa kuelewa nia njema ya Mengi nayo ni wananchi kumiliki uchumi msikilize magufuli
raia wetu wanapaswa kumiliki uchumi wajiunge pamoja hata kama ni gesi wanaweza kumiliki na tutawawezesha -na hiyo ndio hoja ya mengi-
muhongo-nyie wazalendo mnaweza kuuza juice tu.
Tata nilidhani ni GT kumbe nawe una tusiasa twa uchochoroni unataji tanzania nzima iwe inshangilia kila kitu -fikra huru ndio zitatujenga sio ukibaraka na umkiamkia
Prof.Muhongo fits the bill - na ndiye mwenye uwezo wa kusimamia Wizara hii nyeti - narudi kusema Dk.Magufuli ametumia busara sana na hekima kumrudisha jembe Muhongo kwenye usukani - wababaishaji na walanguzi/madalali hawatapenya kwenye chujio la Prof. watabaki kulalama tu na kujaribu kumchafua/majungu au kumuwekea spana kwenye kazi zake za kulikomboa Taifa letu kutoka kwenye lindi la umaskini mkubwa,Magufuli na Muhongo ni Wazalendo wa kweli hata ukiwangalia usoni uwezi kuwa na wasi wasi nao.kijana unapaswa kuelewa nia njema ya Mengi nayo ni wananchi kumiliki uchumi msikilize magufuli
raia wetu wanapaswa kumiliki uchumi wajiunge pamoja hata kama ni gesi wanaweza kumiliki na tutawawezesha -na hiyo ndio hoja ya mengi-
muhongo-nyie wazalendo mnaweza kuuza juice tu.
Tata nilidhani ni GT kumbe nawe una tusiasa twa uchochoroni unataji tanzania nzima iwe inshangilia kila kitu -fikra huru ndio zitatujenga sio ukibaraka na umkiamkia
Hukumwelewa Prof Muhongo wewe. Mengi et al hawa na vigezoLizaboni sioni tatizo kwa Mengi kuwa dalali wa vitalu vya gas as well as udalali wake unakuwa upo kisheria...mengi anamiliki makampuni mengi tu yakiwemo ya uchimbaji madini...#
Ni kwanini Muhongo hataki wazawa wahusike kwny biashara ya gas na mafuta???
Sospeter muhongo ni waziri msomi, namkubali sana, lakinj kwa hili la kuleta dharau kwa wazawa niko tofauti nae sana#
Kwanini Watanzania hata kuwa madalali wa vitalu vvitalu na badala yake udalali udalalinywe uwageniimwe
Hukumwelewa Prof Muhongo wewe. Mengi et al hawa na vigezo
Kwa hiyo wanaounga mkono uteuzi wako nyuma ya ESCROW, Magufuli .....!!!
Lizaboni sioni tatizo kwa Mengi kuwa dalali wa vitalu vya gas as well as udalali wake unakuwa upo kisheria...mengi anamiliki makampuni mengi tu yakiwemo ya uchimbaji madini...#
Ni kwanini Muhongo hataki wazawa wahusike kwny biashara ya gas na mafuta???
Sospeter muhongo ni waziri msomi, namkubali sana, lakinj kwa hili la kuleta dharau kwa wazawa niko tofauti nae sana#
Kwanini Watanzania hata kuwa madalali wa vitalu vvitalu na badala yake udalali udalalinywe uwageniimwe
Hapana ninakukatalia Nape hafai kuwa kiongozi kwa ajili ya lugha yake mbovu, halafu katika CV yake naona mambo ya lugha, nim kweli kabisa hana haiba wala mvuto
Kuna miradi ya wzawza lakini mingine lazima tuwe wakweli hao wazawa kwanza yupi mwenye kiwanda kinachoeleweka mpaka awe na uwezo wa gesi?