Woroud Sawalha

Status
Not open for further replies.

njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
12,368
5,512
Name - Woroud Sawalha

Age - 20

Country - Palestine

Women's 800m

314023_345795712167970_1396241274_n.jpg

Proud of you sister
 
imetulia hii dr....hebu nipe habari zaidi.....
alishinda huyu.....? vipi kuhusu swaumu......?......alimudu....?

Preta dada sina maelezo zaidi ila nimeipenda sababu hakujali media na maneno ya watu kwamba yupo tofauti ..some people they are ashamed being different huyu dada alikuwa proud .

nakumbuka yule mtanzania Olympic "nimesahahu jina lake" enzi zile za nyerere pamoja kwamba alivunjika mguu haku quit aliendelea kukimbia though alikuwa wa mwisho alipata heshima nilipokuwa Tianjin kile kipindi cha matayarisho ya Olympic beijing wachina walikuwa wanamtumia kama inspirational kwa wachezaji wao "kuna maneno aliongea nimeyasahau" ..
 
hivi ni Angela au Janet Jelimo....?....inanimix.....ila nadhani hii haikuwa Olympic......

yeh ni kweli haikuwa Olympic naona T-shirts zimeandikwa Istanbul .. though kwenye ufunguzi wa Olympic nilimuona huyu dada.. ila wakenya ni wazuri sana hivi inakuwaje jamaa wanakimbia vile..? pamoja na ethopia
 
Hivi angekimbia na mmbongo then akashinda huyu kuna wabongo wangeshangilia mwenzao kashinda!

naona unaleta strory za mbongo etcl lets cut the cra.p as long as she is Muslim ni mwenzangu! do you have any problem with that..?
 
Niliona Msudani mweusi kama chungu cha makande ila anajiita Mwarabu.

Niliheshimu sana tu Uamuzi na busara zake.....

NB: Palestina kuna Wakristo.....
 
Preta dada sina maelezo zaidi ila nimeipenda sababu hakujali media na maneno ya watu kwamba yupo tofauti ..some people they are ashamed being different huyu dada alikuwa proud .

nakumbuka yule mtanzania Olympic "nimesahahu jina lake" enzi zile za nyerere pamoja kwamba alivunjika mguu haku quit aliendelea kukimbia though alikuwa wa mwisho alipata heshima nilipokuwa Tianjin kile kipindi cha matayarisho ya Olympic beijing wachina walikuwa wanamtumia kama inspirational kwa wachezaji wao "kuna maneno aliongea nimeyasahau" ..
I think ni Filbert Bayi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom