Babu Onyango Joash Abong'o Onyango alizaliwa tarehe 31 Januari 1993, ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Kenya, kwa sasa anacheza kama beki kwa upande wa Ligi Kuu ya Tanzania, na ni mchezaji wa Timu ya Simba na timu ya taifa ya kandanda ya Kenya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.