Anything can happen...though game hii ipo slow...Bado nina imani mechi za leo zote zitaenda dk 120
u made my day
Hii mechi hamna dakika 120
Ndege ya kurudi Buenos Aires ipo tayari
Lini umeanza hii kazi ya uchambuzi wa soka?
leo nipo #teamswiz
Mkuu swali gani hilo?Mbona jibu lipo wazi kabisa!!Uswis HAWEZI mzuia Argentina
Argentina
Leo ajentina ana mechi ngumu sana hasa safi ya ulinzi. shakiri mzeee wa kuteleza atafanya mambo. Kikubwa ajentina apigwe za haraka haraka kipindi cha kwanza.
Siyo pengo kabisa,Martens Indi anacheza vyema zaidi ya mkongwe De Jong