World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

F - football
I - is not
F - for
A - africans:sly:

Mhhhhhhhhhh!!! Sijakubaliana na wewe, sisi waafrika tukijichukia wenyewe hakuna atakayetupenda milele,tunatakiwa kwanza tuanze kujikubali wenyewe,jamani eee mie kama mwafrika najikubali ile mbayaaaa!!!! Angalia hii WC ngozi nyeusi kny kila taifa haijakosa kutikisa nyavu. Ni makosa madogomadogo tu ya kurekebisha ila soccer tunaweza.
 
uswis hawanatofauti na cameroon wanapata nafasi wanapiga hewani.
 
kwa hii game inavyochezwa naona jana ndo kulikuwa na mechi hii ni bonanza tu
 
uswiswi full kushambulia

si wafunge tu sasa wenzao wakipata hizi opportunities wanazitumia ipasavyo
 
ookey ookey

[TABLE="class: league-wc, width: 468"]
[TR="class: match"]
[TD="class: fd, bgcolor: #EEEEEE"]
flash.gif
52'[/TD]
[TD="class: tl, bgcolor: #EEEEEE, align: right"]Argentina[/TD]
[TD="class: fs, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]0 - 0[/TD]
[TD="class: tr, bgcolor: #EEEEEE"]Switzerland[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
aljentina bado wanategemea sana miujiza toka kwa messi, di maria na higuain
 
Mhhhhhhhhhh!!! Sijakubaliana na wewe, sisi waafrika tukijichukia wenyewe hakuna atakayetupenda milele,tunatakiwa kwanza tuanze kujikubali wenyewe,jamani eee mie kama mwafrika najikubali ile mbayaaaa!!!! Angalia hii WC ngozi nyeusi kny kila taifa haijakosa kutikisa nyavu. Ni makosa madogomadogo tu ya kurekebisha ila soccer tunaweza.

Yah nakubaliana na wewe mdau mimi pia ni proudly african and i real hate when somebody pity about us, tunajitahidi somehow kwenye soccer, musics, modelin etc tuzidi kufanya bidii na kujiamini tuu God bless Africa.
 
Back
Top Bottom