palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Mkuu FIFA wamebadili sheria?Hata ukiwa down 2-0 bado mnaenda dakika 120?Massiah hawezi wakosa hawa dakika 90 na sioni leo dalili kama Shaqiri atapiga hata imfikie kipa
utakimbia hapa shauri yako
Mkuu FIFA wamebadili sheria?Hata ukiwa down 2-0 bado mnaenda dakika 120?Massiah hawezi wakosa hawa dakika 90 na sioni leo dalili kama Shaqiri atapiga hata imfikie kipa
Mkuu huyu Massiah Messi aliyekuja kivingine kwa njia ya soka!Huyu anatupa sana raha sisi wapenda soca!!Hapo leo atafanya kitu lzm wote tutainuka
habari zenu wadau
tuko pouwa kabisa karibu.
Nani unadhani anapita leo??
habari zenu wadau
#teamswazasante team wapi we we....
asante team wapi we we....
Dada naomba leo uniunge mkono!Njoo leo upande wa "WAPENDA KODI" upate raha
BREAKING NEWS: De Jong out of World Cup
Nani unadhani anapita leo??
wapenda kodi team gani......