World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

haaah!! hizi ni kamba sasa, naomba nishuke kwenye hii daladala yako...
Malafyale na DonDonald kwa Kamba huwajui wakati enzi za tunacheza mpira kazi Yao ilikuwa kushangilia nje na kulalamika kwa kusema Yule striker atolewe ingekuwa Mie nafunga walikuwa wakingizwa kucheza kulikuwa na mnazi wao na goli Wanapiga Dotchi moja mpira unaangua dafu tulikuwa shida ya maji ya dafu hakuna Striker wakiwa wao mpaka Leo wapo Jamiiforum Record zao 0 goals angalau DonDonald alikuwa anagongesha Besela mara moja moja.
 
Akhsante Kwa Kusalimu Amri Na Kuwa Mpole.....Siku Nyingine Uwe Unajipima Kwanza Kwani Wengine Tuna Haiba Za Kiyahudi ( Hatukubali Kushindwa ).........Ukome!!!!!!!!!!!!
Unaamini kama ni vigumu sana kushindana na mtu aliyevurugwa kimaisha kama wewe wakati kuna watu wenye hoja nzito za kujibiwa wananisubiri...
 
Hakuna laana yoyote, referees pia wanatuminya sana tu.

Mimi sidhani kama marefa wana upendeleo dhidi ya timu za Afrika.

Ila naelewa kwa nini una sentiments dhidi ya marefa.

Mara nyingi (kwenye michezo) mtu timu yako au pande uliyokuwa unataka ishinde isiposhinda unaanza kutafuta tu visingizio vya kwa nini imeshindwa.

Ni hali ya kawaida kabisa hiyo.

Hata Uruguay kuna watu wanaamini ilikuwa ni conspiracy ya Brasil iliyosababisha Suarez afungiwe na FIFA. Na kuna wengine hadi leo wanaapia kabisa kuwa eti Suarez hakumng'ata Chiellini.

Kama, kwa mfano tu, timu za Afrika zingekuwa zinafunga magoli mengi halafu idadi kubwa ya hayo magoli yanakataliwa, hapo nadhani kungekuwa na hoja ya msingi.

Lakini sasa hivi ninachoona ni watu tu kutafuta visingizio vya kwa nini timu za Afrika hazifiki mbali kwenye kombe la dunia. Ukweli ni kwamba timu za Afrika suck.

They suck kuanzia kwenye utawala, uongozi, mikakati, mindset, and the list goes on and on.

Therefore, I think, African teams/ countries need to do some serious searching as to what is or are the real causes of their miserable failures instead of looking for excuses.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
[h=1]Cameroon investigate claims of World Cup match-fixing among seven squad members[/h]Cameroon's football federation is to investigate allegations of match-fixing by its players at the World Cup after it emerged a convicted fraudster correctly predicted they'd lose 4-0 and have a man sent off against Croatia.

The governing body (FECAFOOT) released a statement confirming that their ethics committee will probe claims of 'fraud' by 'seven bad apples' in the country's three Group A matches, particularly the Croatia defeat on June 18 in Manaus.

Allegations were made in a German news magazine Der Spiegel by convicted match fixer Wilson Raj Perumal from Singapore.
 
Mimi sidhani kama marefa wana upendeleo dhidi ya timu za Afrika.

Ila naelewa kwa nini una sentiments dhidi ya marefa.

Mara nyingi (kwenye michezo) mtu timu yako au pande uliyokuwa unataka ishinde isiposhinda unaanza kutafuta tu visingizio vya kwa nini imeshindwa.

Ni hali ya kawaida kabisa hiyo.

Hata Uruguay kuna watu wanaamini ilikuwa ni conspiracy ya Brasil iliyosababisha Suarez afungiwe na FIFA. Na kuna wengine hadi leo wanaapia kabisa kuwa eti Suarez hakumng'ata Chiellini.

Kama, kwa mfano tu, timu za Afrika zingekuwa zinafunga magoli mengi halafu idadi kubwa ya hayo magoli yanakataliwa, hapo nadhani kungekuwa na hoja ya msingi.

Lakini sasa hivi ninachoona ni watu tu kutafuta visingizio vya kwa nini timu za Afrika hazifiki mbali kwenye kombe la dunia. Ukweli ni kwamba timu za Afrika suck.

They suck kuanzia kwenye utawala, uongozi, mikakati, mindset, and the list goes on and on.

Therefore, I think, African teams/ countries need to do some serious searching as to what is or are the real causes of their miserable failures instead of looking for excuses.

Mfano mdogo tu ni mechi ya Jana France. Vs Nigeria..uliona ile rafu
Matuidi aliyomchezea Onazi?
Wachambuzi wote niliojaribu kupitia comments zao walikubaliana kuwa ile ni Straight Red Card...lakini yule mpuuzi akatoa Njano...
Hii unaitaje sasa..??
 
Suarez alimng'ata Chiellini na hakupewa hata kadi ya njano.

Hiyo nayo inaitwa nini? Refa aliwapendelea Uruguay dhidi ya Italy?

Bad calls zipo sana hususan kwenye michezo ya full-contact.
 
THANK YOU!!!!! Ile ni rafu iliyostahili red card lakini refa akaamua kumeza kipyenga chake, Ivory Coast walistahili kutoa draw na Greece na hivyo kusonga mbele, lakini refa dakika za mwisho kaamua kufanya maamuzi ambayo yalihakikisha dakika zote za mwisho mpira unachezwa kwenye goli la Ivory Coast na matokeo yake tunayajua. Bad calls zipo hilo siwezi kulikataa, lakini kwanini the majority of bad calls zinakuwa against Africa's teams?

Mfano mdogo tu ni mechi ya Jana France. Vs Nigeria..uliona ile rafu
Matuidi aliyomchezea Onazi?
Wachambuzi wote niliojaribu kupitia comments zao walikubaliana kuwa ile ni Straight Red Card...lakini yule mpuuzi akatoa Njano...
Hii unaitaje sasa..??
 
Unaamini kama ni vigumu sana kushindana na mtu aliyevurugwa kimaisha kama wewe wakati kuna watu wenye hoja nzito za kujibiwa wananisubiri...
Jamaa yangu achana na watu km hawa huwezi jua anavuta kwanza ndio wanakuja poromosha mitusi
Nimekulazimisha Usome Posts au Threads Zangu? au SHIMO Linakuwasha Nije Nilizibe Kwa Mtalimbo Wangu? Acha Kutafuta Kiki Kupitia GENTAMYCINE Juha Mkubwa Wewe. Endelea Kunifuatafuata Niku WEREMA au Niku LUIS SUAREZ!!!!!!!!!!!!
GENTAMYCINE nakushauri kwa matusi yako ungeangalia huu uzi umeshushwa au kauanzisha nani ili tuuchangie, kwanini unataka kuuharibu? si ungeenda jukwaa la Matusi (jukwaa la s......)
Kwa sababu tu una ID kibao ndio unataka kuwa dhalilisha Dada zetu

MODS Iwapo Member anaficha Jina lake basi asitukane wenzake la sivyo mui-Disclose ID yake na adhabi juu kwani wanaungia kivingine
ni wachache mnaharibu utamu wa Kombe la Dunia
cc Invisible
 
Jamaa yangu achana na watu km hawa huwezi jua anavuta kwanza ndio wanakuja poromosha mitusi

GENTAMYCINE nakushauri kwa matusi yako ungeangalia huu uzi umeshushwa au kauanzisha nani ili tuuchangie, kwanini unataka kuuharibu? si ungeenda jukwaa la Matusi (jukwaa la s......)
Kwa sababu tu una ID kibao ndio unataka kuwa dhalilisha Dada zetu

MODS Iwapo Member anaficha Jina lake basi asitukane wenzake la sivyo mui-Disclose ID yake na adhabi juu kwani wanaungia kivingine
ni wachache mnaharibu utamu wa Kombe la Dunia
cc Invisible

hii lugha ya huyo jamaa sijaifagilia kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom