palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Nipo tupo pamoja,mimi leo ni Beligium na Switz,hope hata kwa Belgium tupo pamoja au upo na USA?
Nipo beligium pia
Nipo tupo pamoja,mimi leo ni Beligium na Switz,hope hata kwa Belgium tupo pamoja au upo na USA?
Najiamini,utaona leo Mesi atakavyolia,huko Ronaldo aliko atakuwa anachekelea tu kuwa kamjoinVictoire , na leo utalala na mawenge huo upande uliopo shauri yako.
Najiamini,utaona leo Mesi atakavyolia,huko Ronaldo aliko atakuwa anachekelea tu kuwa kamjoin
Najiamini,utaona leo Mesi atakavyolia,huko Ronaldo aliko atakuwa anachekelea tu kuwa kamjoin
Mechi hii inakwenda dk 120
Mechi hii inakwenda dk 120