Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,911
- 11,321
Angalia mpira ukiwa golini kwa Uncle Sam usiweke nyama mdomoni meno yasijekuwa "hostile" kwa kiungo kingine muhimu mdomoni.
Uncle Sam leo hatutoki nakuambia mkuu
Angalia mpira ukiwa golini kwa Uncle Sam usiweke nyama mdomoni meno yasijekuwa "hostile" kwa kiungo kingine muhimu mdomoni.
Ni kweli kabisa mkuu, ila ukiangalia "performance" ya hii timu ukianzia kwenye hatua ya makundi ilimfunga Algeria timu bora kabisa Afrika Bao 2-1, ikamfunga Russia Bao 1-0, ikamfunga Korea Bao 1-0 na kuzoa pointi 9 zote, utagundua kuna kitu cha ziada ambacho leo tutakiona.Mkuu kama mpira majina basi England,Spain na Portugal wote wangekuwa wanacheza nusu fainali na fainali miongoni mwao kila kombe la dunia!Nimeona picha hapa tayari Xavi na mke wake wapo Miami vacation!!
Mpira sio majina na team wanazochezea bali ni collectively responsibility
Ha ha ha haaah!! Kweli kabisa, na kuacha kuona haya mashindano ndio kitu kisichowezekana.automatically utajikuta unamahaba na katimu fulani kaliko baki...presha zitakuja tu.
Mkuu naona umeanza mapema kukiri kupaki mabegi...Uncle Sam leo hatutoki nakuambia mkuu
asante sana.Pole sana Mkuu, yangu bado ipo ipo.
timu gani hiyo mkuu.Jiunge kwenye timu yangu upate raha na burudani.
haaah!! hizi ni kamba sasa, naomba nishuke kwenye hii daladala yako...Mfungo wa Ramadan na soka ni ngumu sana!I feel mno hawa Algerians!Mwaka juzi nikiwa kwa babu Bububu nilifunga siku tunacheza na team ya Makunduchi yaani ilikuwa balaa hata kuupiga mpira ikawa shida!Lkn dakika ya 90 nikawainua kw abao pekee la free kick ahahahaha
Ha ha ha haaah!! Kweli kabisa, na kuacha kuona haya mashindano ndio kitu kisichowezekana.
team udini tu
kwahiyo wewe mjerumani eeh!
Hivi Algeria iko bara gani vileeeeee? Bara la Uarabuni au, naomba msaada tafadhali.
unajua nikiona wale waswahili wenzetu; lukaku, dembele, felaini, company, nahisi kama afrika bado ipo brazil vile....
Umeona hilo mkuu, hivyo sijakosea kuwa upande huo kabisa. Afrika bado tuna timu, ndiyo maana FIFA hawaongezi timu za kushiriki toka Afrika....mbona wakongomani wale kwa hiyo hujakosea kabisa
Hhaahaha . si waafrika basi tena kameruni wanachunguzwa kwa kupanga matokeo mechi zao kombe la dunia. Mwaka huu tutaona mengi.Umeona hilo mkuu, hivyo sijakosea kuwa upande huo kabisa. Afrika bado tuna timu, ndiyo maana FIFA hawaongezi timu za kushiriki toka Afrika....
Ha ha ha haaah!! Kweli kabisa, na kuacha kuona haya mashindano ndio kitu kisichowezekana.