World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tuiombee The Yanks iichape The red devils.
Pia Nationalmannschaft iichape Los Gauchos.
 
Coach Stephen Keshi has resigned following Nigeria’s exit while goalkeeper Vincent Enyeama is considering his international future
 
Mpopo anatoka
Algeria HATOKI leo,najua unadhani huyu Malafyale chizi au nn lkn I will prove you deadly wrong just before the 90 minutes Haliche akiwa anapiga la 2 bado dakika 3 soka kuisha
Niaje? upo !
 
Bye bye my Africa, till the next tornament in 2018.

2018 Russia hawa Ghana,Ivory Coast,Cameroon na Nigeria wawekwe kundi moja ili tupate team moja toka kundi lao la wazushi!
Then Algeria mpe kundi dhaifu labda na Tanzania na Malawi the same as Morocco,Tunisia na Misri wote wapewe makundi rahisi!Hawa waarabs kwanza hawana mambo ya wabantu ya kugombea posho
 
Bonge ya game USA vs Belgium!In God we trust kama msemo huu unavyosomeka kwenye hela za Marekani!
 
Nakuomba wewe na wenzako niungeni mkono leo kwa kuishangilia USA tafadhali

Hapana mkuu, siko tayari kuiunga mkono marekani wala ubelgiji wala brazuu wala udachi. Mimi nimebaki na Colombia na Argentina tu, tukutane robo fainali panapo majaliwa.
 
Algeria wangekutana na France kwenye 16 bora, Africa tungekuwa bado tunatesa WC!
 
Back
Top Bottom