BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
Miss u too darling.
Hope uko biyee kila kiungo chako.
Utamla mtu hapa dau kiasi gani?
timu gani hiyo mkuu.
kapteni messi nakuombea miguu ikaze isipwaye. najua unatumia akili nyingi uwapo uwanjani, wewe ni mwanaume pekee usiyetumia kichwa cha chini kufikiri. ufanye mambo basi tupenye robo hatimae nusu na mwisho finali.
Mabingwa wapya wa Dunia 2014
Timu ya Ushindi
Timu ya wananchi
Miafirika hatuna tunachoweza
Una maneno ya kitume sana...asitumie kichwa chani bali atumie kichwa cha juu kama ambavyo itampendeza baba yetu juu na mama yetu aliye chini
Una maneno ya kitume sana...asitumie kichwa chani bali atumie kichwa cha juu kama ambavyo itampendeza baba yetu juu na mama yetu aliye chini
Shaqir lazima awafunge sana leo hawa Argentina,Team SwitzSwitzerland watawasumbua sana Argentina...
Shaqir lazima awafunge sana leo hawa Argentina,Team Switz
Miafirika hatuna tunachoweza
Mhuuuuuuuum,hawa Argentina wanaomtegemea Mesi,Shakiri atawasumbua sana,back ya Swiss itamdhibiti Mesi,Shakiri atawasumbua sana leo hawa watoto wa Maradona.Hii nayo ni bonge la mechi, ila Switzerland leo wanafungashwa virago vyao.
Shaqir lazima awafunge sana leo hawa Argentina,Team Switz