everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Niunge mkono ndugu yangu
Tupo pamoja nkamu gwangu,nami napenda watoto wa Obama wapite.
Niunge mkono ndugu yangu
Algeria wangekutana na France kwenye 16 bora, Africa tungekuwa bado tunatesa WC!
Timu zote nilizokuwa nashabikia zimetoka sasa nitaangalia mpira bila presha.
hahahahahah,bora uile kabla,USA leo wanatolewa,mimi leo team BrusselsNianze kutayarisha kitoweo ikifika saa 1 nianze kuichoma huku na watch game
Mkuu lugha zako zinakera sana kwa kweli!Algeria siyo"uchafu"ni team nzuri sana hadi Germany wanayoipa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huu walisubiri hadi dakika 120!
Tupo pamoja tpaul na hapa tupo kama kijiji tunajadili soka kwa lugha muafaka sana!Karibu jukwaani utakutana na akina rubaman, DonDonald andate Pazi Victoire DEMBA Heaven on Earth juve2012 na wengineo ambao ni wa bishi mno hasa teams zao zikiwa zinaelekea kufungwa ahahahaha
automatically utajikuta unamahaba na katimu fulani kaliko baki...presha zitakuja tu.
Mkuu sio kosa lake bali ni kosa la malezi mabovu ya nyanya yake, na watu kama hao wababebwa na ID fake kinyume na hapo huwa wanakufa mapema bila sababu ya kifo kujulikana....Watu wengine wamezowea uwerema hata kama hakuna ulazima wanawerema tu aaaghr! Wanakera sasa!
Ahahaha dada yangu usikimbie hapa!I will remind youhahahahahah,bora uile kabla,USA leo wanatolewa,mimi leo team Brussels
Mkuu sio kosa lake bali ni kosa la malezi mabovu ya nyanya yake, na watu kama hao wababebwa na ID fake kinyume na hapo huwa wanakufa mapema bila sababu ya kifo kujulikana....
Umetabiri vizuri mama...hahahahahah,bora uile kabla,USA leo wanatolewa,mimi leo team Brussels
Umetabiri vizuri mama...
Sidhani kama vifaa hivi:
Mousa Dembele (T/Spurs), Vicent Company(Man City), Lukaku(Everton), J. Vertonghen(T/Spurs), E. Hazard(Chelsea), Marouane Felaini(Man U), Dries Mertens(Napoli) vitaacha mtu akiwa hai leo...
Nianze kutayarisha kitoweo ikifika saa 1 nianze kuichoma huku na watch game
Kiwango duni ..but discipline wanayo..mfano mwanafunzi ambae hasomi but ana akili ndo Nigeria.na mwanafunzi ambae akili kidogo but anasoma sana...ndo Zambia...siku Zambia wakipata wachezaji quality ya Nigeria watu watashangaa..