BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
Haya mwambie SAF amrudishe MANU akawasaidie kuchukua tena ubingwa msimu ujao. Jamaa mkali nilishangaa sana SAF alipoamua kutompa contract extension pamoja na yeye kuonyesha nia ya kubaki MANU.
mkuu hii mechi kama refa hatoiharibu ,itakuwa match of the tournament! acha kalenda lisonge mbele haraka hii siku ifike.Sasa mechi kali ni ya Ujrerumani na Argentina Jumamosi ijayo. Hapatoshi siku hiyo
mkuu hii mechi kama refa hatoiharibu ,itakuwa match of the tournament! acha kalenda lisonge mbele haraka hii siku ifike.
Umenikumbusha BJ, Maana Leo ni Full Shangwe Home ila sasa German Vs Argies duh this NyU Vs Mama NyU, hapo Zawadi hamna kawa sababu Lazima Mmoja AnuneNdege ya Uchumi wahi home ukapate zawadi yako mana ukichelewa utaikosa!..lol
heheeh mimi ni argentina kwa gemu linalokuja, nilikuwa mjerumani leo kwasababu I HATE ENGLAND.Naomba ushabikie Argentina..halafu ujerumani kwa mbaliiii...ha ha
heheeh mimi ni argentina kwa gemu linalokuja, nilikuwa mjerumani leo kwasababu I HATE ENGLAND.
kesho nipo CHILE na HOLLAND, hapo orange tuko pamoja ! tunatoast , kwa ushindi wa orange! cheersHapo tunaongea lugha moja!!..see yu hiyo jmosi hapa jamvini!!..kesho nipo Brazia na Holland kwenye mechi zote mbili!!
Umenikumbusha BJ, Maana Leo ni Full Shangwe Home ila sasa German Vs Argies duh this NyU Vs Mama NyU, hapo Zawadi hamna kawa sababu Lazima Mmoja Anune
Well done Ghana; :A S thumbs_up: it was well deserved! they played very well.... It's annoying how the US fans feel that they should've won, even though their team weren't playing that good to begin with.
:biggrin1:hahahaha Sidhani kama linaweza kuweka hizo bidhaa njema mitaani
:biggrin1:hahahaha Sidhani kama linaweza kuweka hizo bidhaa njema mitaani