World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Home B! Goli mbili ....siamini hilo kuwezekana.....!

So sad FIFA is antitechnology........

Inawezekana Home B.....Mexico wanetawala kiungo so far na wana washambuliaji watatu wana asi sana pale mbele....Dos Santos,Hernandes na mwingine nimemsahau jina.....nina wasi wasi beki ya Argies kama itahimili kasi ya Mexico
 
Dada Heinze kajirusha pale, tena ningekuwa refa ningempa yellow kadi ili waache Uarabu (fitina tulizozoea kuona wakifanya Waarabu hasa wakiwa wana-lead).

Heinze ndo zake aisee.....anapenda sana mpira wa aina hiyo.....Mpaka huwa anakera sometimes
 
Hahahahah Rosario atasingizia Jabulane ball.....2-0

Masa,

Huyu jamaa asikosee akapita mitaa ya Tijuana kule Baja au akaja karibu na Laredo, wataalamu wa South of the border watamshughulikia na kumnyoa nyusi kwa ujinga aliofanya leo!
 
Demichellis naye mzembemzembe tu..Atawazawadia Mexico goli sasa hivi
 
Ishakula kwa Mexico hii......Tusubiri uhondo wa Germany Vs Argentina
 
duh bonge la bao ! acha nikanunue jezi ya TEVEZ

Siyo siri nimemkubali..Goli safi sana!!Bravo Tevez!!

Na hii mechi ni dk 90 tu hata ingekuwa 70 bado Argentina wangeshinda..Phew,sijapata presha leo! ingekuwa zile timu zetu,mmoja kadraw mwingine kafungwa au wote wamefungwa!!
 
Back
Top Bottom