World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Wakubwa nadhani ujerumani watamfunga huyu Argentina kirahisi kabisa kwa mpira huu they cant pass zaidi ya pass 10 bila kupoteza!
 
Sidhani aisee....kwa sababu haya hayajaanza leo. ni kwamba tu hapa yanapata publicity kwa sababu macho ya ulimwengu yameelekezwa huko. FIFA kama kweli wangekuwa na nia ya kusafisha huu mchezo wangekuwa wameshafanya hivyo zamani mno. Basi tu wana akili za ajabu sana. Huwezi kuona ujinga ujinga kama huu kwenye Super bowl....au hata regular season

Mashabiki wa kandanda all over the World wanataka hii kitu iwe introduced na sasa hivi kuna ushahidi wa kutosha unaonyesha kwamba wakati mwingine wanapatikana washindi wasio halali. Wakitaka kuilinda reputation ya football "the beautiful game" basi hawana jinsi itabidi tu wakubali kushindwa na hivyo kuruhusu instant replay. Nani anataka kuangalia mchezo ambao mara nyingi wanapatikana washindi ambao hawakustahili? Apatikane bingwa kihalali, siyo kwa kupitia makosa ya waamuzi.
 
MAREFA washatia doa ushindi wa ujerumani.....na hapa washatia doa ushindi wa argies kama watashinda.......

Basi kimoyo moyo tuhesabie 1-0,furahi kidogo ai wewe!!..Kiukweli wanaboa marefa halafu kwenye michuano ya kutoana kama hii inaweza leta utata baadae!!

@Klorokwin, uko wapi?!bado unamsapoti mkuu juu hapo?!no amigoz wala nini!!
 
LOL!...sasa Amigos wakipata kamoja itakuwa ni 1-1 au 2-1?

kuna haja ya kuanza kwa instant replay maana kuna ti

Mazee that is way long overdue!! Mpaka kitokee kitu gani tena? Ufaransa wameingia kwa si kihalali...Maradona alifunga goli la mkono miaka 24 iliyopita...what else needs to happen? Watu wanajiangusha angusha ovyo ovyo tu....hebu mcheki Rivaldo hapa 2002...halafu mtu akatolewa kwa kadi nyekundu
YouTube - Rivaldo Dive - 2002 World Cup
 
huyu sepp blatter kama hawezi kuongoza aseme bana tumpeleke INVIZIBO pale FIFA , hili soka sasa linahitaji uamuzi wa kiteknolojia (hii haina mjadala kabisa)

Bwana eeh kama wanaona haya matatizo inabidi watafute suluhisho..inaleta unfair competition..cheki sasa wachezaji wanavyofanya baada ya 1st half,ugomvi tu!..
 
naona mchezaji wa mexico anamsukuma wa argentina wazi wazi...hili si kosa?
 
Hizi vurugu nia aibu kwa kweli kwa FIFA...........Naona waMexico wameamua kutoa uvivu,safi sana
 
Hizi vurugu nia aibu kwa kweli kwa FIFA...........Naona waMexico wameamua kutoa uvivu,safi sana

Ni AIBU tupu kwa kweli wanaweza kabisa kuyavuruga mashindano.
 
This World cup is too scandalous, poor decision of referee(s) at the early minutes has demoralized Mexicans and everything changed. Disgrace!
 
So far Mexico Wamecheza Mpira Mzuri sana kulinganisha na Argentina ila wasi wasi wangu Kipindi cha pili watapanda ili kusawazisha na hii itawapa Nafasi waviziaji kama Higuain Kuwamaliza.

Of course marefa wanaboa sana kuna mmoja alishangilia mtu kucontrol mpira kwa Mkono na Sidhani kama amepewa Adhabu yeyote

Kwa Upande wa Argie naona Pengo la Walter Samwel linaonekana wanapwaya sana Nyuma vile vile pengo la Mkongwe Juan Sebastian Veron au the litle witch linaonekana sana maana Mexico wanatawala sana Kiungo, Nadhani Armando kipindi cha Pili atamwingiza Javier Pastore ili kuweza kudhibiti Middle

Kipindi cha pili kitakuwa kigumu sana na Refa asipokuwa makini anaweza asiumudu huu Mchezo na kupelekea kutoa Kadi Nyekundu kwa Mexico

Mexico wasipopata hata goli moja mpaka dak ya 70 basi watakuwa wamelalala
 
Mimi nimeshasema hizi fainali zimeshakuwa tarnished. Hii ni blunder kwa FIFA....na sijui bosile wao atasema nini
 
naona mchezaji wa mexico anamsukuma wa argentina wazi wazi...hili si kosa?

Dada Heinze kajirusha pale, tena ningekuwa refa ningempa yellow kadi ili waache Uarabu (fitina tulizozoea kuona wakifanya Waarabu hasa wakiwa wana-lead).
 
Wakubwa nadhani ujerumani watamfunga huyu Argentina kirahisi kabisa kwa mpira huu they cant pass zaidi ya pass 10 bila kupoteza!

Hawajacheza mpira wa kutisha kiviile....wakiendelea hivi si ajabu Mexico wakasawazisha aisee........Naiona njia nyeupeee kwa Germany
 
Basi kimoyo moyo tuhesabie 1-0,furahi kidogo ai wewe!!..Kiukweli wanaboa marefa halafu kwenye michuano ya kutoana kama hii inaweza leta utata baadae!!

@Klorokwin, uko wapi?!bado unamsapoti mkuu juu hapo?!no amigoz wala nini!!
bado tunaweza tukabounce back hakikisha unabaki mpaka 90 kama sio 120
 
Back
Top Bottom