World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Technology is needed kusaidia waamuzi, Tevez was off side! Wrong decision in favor of Argie....
 
disgrace hawa marefa wawe wanaadhibiwa nao, inauma sana makosa makubwa namna hii katika World cup.
 
Mshindi keshajulikana hata kama Mesi hayupo; namwona Maradona anacheza ritungu!! Gooalll!!! 2-0
 
Yaani michuano hii controversy zinazoweza kuondolewa na instant replay zinaharibu kabisa huu mchezo. Hivi ni mimi ninayeziona hizi controversy au?

Nitashangaa sana kama baada ya WC, kabla ya mwisho wa mwaka huu FIFA hawataanza kutumia video technology ili kuondoa kabisa matatizo kama hayo.
 
Nitashangaa sana kama baada ya WC, kabla ya mwisho wa mwaka huu FIFA hawataanza kutumia video technology ili kuondoa kabisa matatizo kama hayo.

Sidhani aisee....kwa sababu haya hayajaanza leo. ni kwamba tu hapa yanapata publicity kwa sababu macho ya ulimwengu yameelekezwa huko. FIFA kama kweli wangekuwa na nia ya kusafisha huu mchezo wangekuwa wameshafanya hivyo zamani mno. Basi tu wana akili za ajabu sana. Huwezi kuona ujinga ujinga kama huu kwenye Super bowl....au hata regular season
 
MAREFA washatia doa ushindi wa ujerumani.....na hapa washatia doa ushindi wa argies kama watashinda.......
 
Too late..ila kilichonishangaza ni kuwa refa kama alidata!! Waitaliano hao!

huyu sepp blatter kama hawezi kuongoza aseme bana tumpeleke INVIZIBO pale FIFA , hili soka sasa linahitaji uamuzi wa kiteknolojia (hii haina mjadala kabisa)
 
Back
Top Bottom