klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
:violin::violin::violin::horn::horn::horn::horn:
Nani unamshangilia BJ? Mimi nawashangilia wa kwa mama, but they need to improve their performance in order to win this game.
jana umeona hakukuwa na ugonjwa wa moyo wowote? lol
Mwenzio hata sijui nipo wapi mechii hii!..Mshindi ndiye nitamshangilia BAK,ha ha...kwa mama naona wameshachapwa kimoja!!..Wewe uko wapi?
Ila mechi ya badae niko na Argentina!!
HAKUNA KITU MWANAWANE.... NDIO KIWANGO CHAKE KIMEISHIA PALE!!!roooney jabulani limemkataa naona
kaazi kwelikweli.... sioni kabisa england waki-create hata chance moja unless wafanye sub pale kati... hakuna coordination kati ya lampard, gerrard na barry
KWA MTINDO HUU, LEO HATA TATU AISEE