Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,190
Kwanza hebu weka picha zao hapa.
Pili, hakuna mtu mwenye uhakika kabisa wa kujua kuwa hajachanganya dna hususan aliezaliwa ktk jamii yenye watu mchanganyiko. Kwa mfano, wanugu wengi sana wana European ancestry...kwa nini? Kwa sabau jamii yao imejichanganya na weupe tokea karne ya 17 na ktk mazingira hayo inter-marriages ni inevitable. Hata Pele usije shangaa ana ancestral background ya wahindi wekundu...kwa vile tu ni mweusi kaa mpingo hiyo haimaanishi chochote.
Hao unaosema hawajachanganya dna hebu nipe miti ya familia zao kurudi nyuma hadi kwa watumwa na wanyapara wao tuone kama hakuna mchanganyiko hata kidogo....
Hawa jamaa wamechanganya damu kishenzi. Nilikuwa na mwambia mnugu
mmoja kwamba, hakuna pure black marekani hata kama ana rangi ya mpingo
akawa anabisha nikamwambia angalia pua zenu zilivyo ndefu na tofauti na zetu
waafrika akawa anacheka.
Unajua unaweza kuwa na kadominant gene kakakupa rangi nyeusi lakini overall
wewe sio mweusi. Ndio maana lazima uangalie ficha zote uweze ku make
conclusion.
Haya ma lable ya "black" ni kutaka tuu kusisitiza kwamba race fulani ni bora