Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
Nyinyi hamjui tu. Haya magana yanatudharau sana sisi....na yafungwe tu yaondoke
Hivi how much did Ghana get paid to loose this game?
Ghana wana kipa mzuri mkuu, wasiwasi wangu ni hizi dakika za mwisho!
Wakuu ahsanteni kwa hii rapid update, MEDIACOM imekumbwa na dhoruba kwenye eneo ni balaa tupu!
Mediacom? Mazee uko midwest nini? lol
Situation room in da house!.Kumbe hadi mazee Wolf Blitzer ndani ya nyumba......